Mawalla advocates wa Arusha

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
huyu jamaa utajiri wa kufuru aliupata wapi? Mpaka kuwa na uwezo wa kujenga lami ndani ya empire yake yenye ukubwa zaidi ya hekari 50
 
Acha wivu mvivu wewe!!
Jitume utafanikiwa.
Success goes to those who bear to act.
 
either alifanya kazi kwa bidii (wewe unaweza?) au aliiba kwa bidii (unaweza?)
 
Lami iliwekwa kwa ajilia ya G. Bush alipokwenda kuzindua shule yake pembeni na hapo.
 
Ukitaka kujua chanzo cha mapato cha m2 kitakusaidia nini ww ktk kazi zako za kila siku? Pambana na ww uwe kama yeye na kama sio ww basi wajukuu zako waje kuneemeka na majasho yako.
 
huyu jamaa utajiri wa kufuru aliupata wapi? Mpaka kuwa na uwezo wa kujenga rami ndani ya empire yake yenye ukubwa zaidi ya hekari 50

Simple minds discuss people; Medium capacity minds discuss events; Great minds discuss Ideas.
Bro where do you fit in?!
 
huyu jamaa utajiri wa kufuru aliupata wapi? Mpaka kuwa na uwezo wa kujenga rami ndani ya empire yake yenye ukubwa zaidi ya hekari 50

Kwani kuna mahala popote pameibiwa pesa mpaka uwe na wasiwasi?
 
Wenzenu wakitafuta pesa nyie mnat***na wakifanikiwa mnajiuliza chakarika
 
Mikataba ya kilaghai anayoifanya na Grumeti Reserves iliyoko Serengeti National Park inamwingizia mamilioni kila siku achilia mbali kawadanganya Wakurya, Waikoma na Wanata kwa kununua ardhi yao na kuiuza kwa mwekezaji kwa bei ya kutupwa. Hayo ndo nayoyafahamu na kama kuna mengine mwaga hapa data
 
huyu jamaa utajiri wa kufuru aliupata wapi? Mpaka kuwa na uwezo wa kujenga rami ndani ya empire yake yenye ukubwa zaidi ya hekari 50

Wewe si unadai uko sweden unasomea masters? mambo ya arusha umeyatoa wapi?
BTW, rami ndio kitu gani?
 
jamani hivi mtu akifanikiwa lazima awe ameiba? Watu hawalali wao siku zote wanatafuta hela so mtu akifanikiwa dont judge him kwa sababu tu wewe huna au huna uwezo.wa kuwa.na.alicho nacho fanya kazi upate hayo aliyo nayo we mtu unalala masaa 16 unategemea nini?
 
Aga khan kisongo.

Uwindaji haramu.

Biashara ya wanyama hai au ngozi zao.

Anasimamia hayo na kuweka mikataba na kuwawakilisha mahakamani.
 
Back
Top Bottom