Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,141
- 143,739
sio LINCHI, it is a common law practice, Matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....
Tanzanian lawyers can now advertise their services, after a review of their rules - a move likely to increase competition in the country's legal sector.
Tanzanian lawyers can now advertise their services, after a review of their rules - a move likely to increase competition in the country's legal sector.
"An advocate may advertise legal services to the general public, subject to the regulations and rules of the Society on such matters," says rule 128.
.ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....
acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care
sasa kama hawatafuti wateja wao wanangoja kufuatwa maofisini watapata wapi hela,wakati mwananchi wa kawaida hata hajuh kama huwa kuna huduma za kisheria?
dahhh bora umekuja kuniokoa manake hawa jamaa walikuja kwa jazba kunishambulia wakati mimi nimetoa angalizo kwa kitu nilichokiona baada ya kuwa na ishu zangu hapo mwanza most of the offices ni one man show i mean just an advocate one room one secretary
sio linchi, it is a common law practice, matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....
huyo niliyemtaja ofisi yake ni kiuchochoro tu yaani ni ofisi ya chama cha wazoa taka sijui pale karibu na fire ..kaweka meza na viti viwili yaani humo ndani ni giza kama uko kwenye shimo ....
Hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.
taarifa mh spika au ulitaka nikae kimya wakati noble proffession wanashindwa kununua hata samani nzuri za ofisi achilia mbali vitendea kazi na suti
watanunuaje wakati ukidaiwa 1k unakuja kulialia hapa? Acha kujitoa akili wewe kijana.
hakuna mtu anayejali tena inapokuja swala la mkosa heshima kama wewe, taaluma za wenzio ziheshimu, naanza kupata wasiwasi na hali yako ya afya ya akili kwa ujumla, kuja humu kutuambia mambo ambayo hayana nafasi katika kuongeza exposures zetu za mambo mbalimbali katika jamii, post yako ni mojawapo ya zile zinazofaa kuwa trashed au mods wakikupendelea sana ikapelekwa jukwaa la kustorisha ama chit chat maana hakuna jukwaa linalokufaa wewe lile la umbea au jukwaa la watoto
huwezi kuwa na confidence ya kuomba fee ya mamilioni wakati kiatu kina vumbi na unapanda pikipiki au daladala na ofisi iko full vumbi kiyoyozi hakuna ni kujipepea magazeti huna sehemu ya wateja kukaa kabla ya kukuona huku anasoma magazine sio gazeti la kiu
Naomba uniwekee hapa hiyo sheria inayojinaisha wakili kutangaza huduma zake, tafadhali.
hakuna mtu anayejali tena inapokuja swala la mkosa heshima kama wewe, taaluma za wenzio ziheshimu, naanza kupata wasiwasi na hali yako ya afya ya akili kwa ujumla, kuja humu kutuambia mambo ambayo hayana nafasi katika kuongeza exposures zetu za mambo mbalimbali katika jamii, post yako ni mojawapo ya zile zinazofaa kuwa trashed au mods wakikupendelea sana ikapelekwa jukwaa la kustorisha ama chit chat maana hakuna jukwaa linalokufaa wewe lile la umbea au jukwaa la watoto
mkuu stroke nahisi utakuwa ni wewe naona una hasira na bado ngoja niwatafute watu wanaowajua vizuri mawakili wa mwanza kiundani you must change mnafanya kazi kienyeji ki mami mami ntawapa connection na watu wanaouza office technology
Ulielewa nilichomaanisha kwa huyu bwana??? unafahamu nini maana ya Touting????? ukijua hiyo maana hata kwa kugoogle na nikusaidie, nenda kagoogle the Advocates Act, utajua nilimaanisha nini kwa huyu bwana kuwaita mawakili wengine njaa na kuwapa wengine sifa alikuwa anafanya kitendo gani,
Uliyoquote wewe ni ammendment ya The Tanganyika Law Society Advocates ( Proffessional conduct and Etiquette) rules zilizokua zina strict rules kwenye Advertisements,
lakini hata hiyo amendment bado haijawa more relaxed to the extent ya kuj akupost utumbo humu kuwakashifu mawakili wengine kwa kutangaza wengine...
kama alikosa fees that is another issue ambayo swala la fees ni baina ya mteja na mtoa huduma ingawa kuna some guidelines on the advocates remunerations and fees.
ulienda unapita kila ofisi unaulizia wamepata kazi ngapi kwa mwezi huu? Kama sikosei wewe utakuwa mjita! Mmekalia umbea tu kukaa mnachunguza maisha ya wenzenu! Acha hizo kenge wewe! Ulishawasikia wanapita barabarani wanalia njaa?
wewe una matatizo. Kwani kinachomwaga issues mahakamani ni kichwa (mtu) au ofisi? Mbona walimu wa tuition husomeshea chini ya miembe lakini wanafunzi wao hugonga divisheni wani za kumwaga? Kinacho matter ni material anayomwaga mahakamani, sio office. Halafu hii post yako iko too general--umejumlisha na kuwatukana mawakili wote jijini mwanza badala ya kuwalenga tu hao wabaya wako. Afu kwa jinsi usivyojua kujenga hoja umewa-exclude akina mutalemwa wakati na wao wako huko huko mwanza. Umebugi meeeeeeeen!!