Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Wafe tu
emoji16.png
emoji23.png
Huu sio utu wala sio utanzania. Siasa ni imani sio uadui
Siasa zisituondolee utu Watanzania. Siasa ni imani kama ilivyo dini.... kama ilivyo unaweza kuwa mchungaji akatokea mwanao ameolewa na shehe au ukawa shehe na mwanao ameolewa na mchungaji au mtoto wa mchungaji. Ndivyo unaweza kuwa Chadema na watu wako wengine wakawa CCM au ukawa CCM watu wako wengine wakawa ACT au chadema. Huwezi kuwachukia na kufurahia matatizo yao.

Unaweza furahi mpinzani wako kwenye siasa akishindwa kwenye kura au wanachama wakimkimbia sababu ushindi utakuja kwako lakini kamwe binadamu mwenye utu huwezi furahia kifo. Siasa sio vita jamani

Bujibuji huyo jamaa ni wa kupuuzwa
 
Malikia kulikoni?? Maana kuwasiliana na Malikia ni jambo kubwa, au labda Malikia mwenyewe awe na akili za "hovyo" lakini I believe ni mtu muelewa, "Saccos" ni chama fulani cha siasa lakini organisation yake ni ya ki "saccos"
Jibu swali basi acha mbwembwe
 
Huu sio utu wala sio utanzania. Siasa ni imani sio uadui

Siasa zisituondolee utu Watanzania. Siasa ni imani kama ilivyo dini.... kama ilivyo unaweza kuwa mchungaji akatokea mwanao ameolewa na shehe au ukawa shehe na mwanao ameolewa na mchungaji au mtoto wa mchungaji. Ndivyo unaweza kuwa Chadema na watu wako wengine wakawa CCM au ukawa CCM watu wako wengine wakawa ACT au chadema. Huwezi kuwachukia na kufurahia matatizo yao.

Unaweza furahi mpinzani wako kwenye siasa akishindwa kwenye kura au wanachama wakimkimbia sababu ushindi utakuja kwako lakini kamwe binadamu mwenye utu huwezi furahia kifo. Siasa sio vita jamani

Bujibuji huyo jamaa ni wa kupuuzwa
Hongera mama kweli umekua na unahekima kama mwanamke anayezumgumziwa kwenye mithali 31:10-31
 
Kajamaa kanajikuta ka much know kisenge badala kajibu swali kanaleta mbwembwe za Lumumba kama za mzee slowslow....
.....Mkuu ndio maana ccm ina watu vichwa panzi kama huyo, na ndio mtaji kwa hiko chama..
Wasenge ni ukoo wako kuanzia wewe mwenyewe na unatembea na gunzi ili likukune unapokosa wateja na pia kuzuia uchafu kudondoka njiani
 
Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.

ajaliipic.jpg
 
Poleni makamanda,
Kuna kitu nimejifunza kwa msiba huu wa makamanda,
Wanapokufa watu wa CCM watu humu hufurahi na kuongea kwa kejeri ila kwa watu wenu, CCm tupo kimya zaidi ya kuwapa pole.
Mjitathimini makamada mna roho mbaya sana.
Muuaji siku zote hulia sana msibani wauaji wakubwa nyie
 
Samahani hebu nisaidie kujua Tume wanahusikaje hapa?

Pole kwa familia za Watanzania waliopoteza maisha...

October 28th twende kwa wingi tukampigie kura za NDIO Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kuna baadhi ya maeneo, mawakala wamelazimishwa kusafiri na kwenda kuapa tarafani badala ya kwenye kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom