Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.

Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi


Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. Hawa ni mashujaa na lazima siku moja tutawakumbuka kama sehemu ya watu walioshiriki kuleta mabadiliko ya kihistoria Tanzania
 
R.I.P makamanda wa ukombozi...
....Twawaombea kwa Mwenyezi Mungu awapokee na kuwapunguzia adhabu!
 
Pumzikeni kwa amani makamanda, kazi iliyobakia tunaimaliza asubuhi tu!
Poleni makamanda,
Kuna kitu nimejifunza kwa msiba huu wa makamanda,
Wanapokufa watu wa CCM watu humu hufurahi na kuongea kwa kejeri ila kwa watu wenu, CCm tupo kimya zaidi ya kuwapa pole.
Mjitathimini makamada mna roho mbaya sana.
 
Maana ya saccos ni nini?
Malikia kulikoni?? Maana kuwasiliana na Malikia ni jambo kubwa, au labda Malikia mwenyewe awe na akili za "hovyo" lakini I believe ni mtu muelewa, "Saccos" ni chama fulani cha siasa lakini organisation yake ni ya ki "saccos"
 
Back
Top Bottom