Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,825
- 5,295
100%...ccm wamewaua
Samahani hebu nisaidie kujua Tume wanahusikaje hapa?Tume ya taifa ya uchaguzi nec Wana mambo ya kipunbavu
Kutoka kwa shetani mwenyewe.Siyo sawa kupoteza maisha yako kwa manufaa ya wengine, hata hivyo wapumzike kwa Amani, ...
Wanahusika vipi? Misiba usingize siasa we bwege.Hujuma za CCM
Du!Duh kama ni Sumbawanga itakuwa ipo kitu
Tena haraka snKikombe chenu cha uovu naona sasa kimejaa na mtapata pigo kubwa sana kabla ya tarehe 28 October. Mungu hadhihakiwi damu hizi lazima zilipwe.
CCM 🙌Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
RIP ,uchunguzi ufanyikeMawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi