Kwani wenzao wa vyama vingine wanasafiri na nini?Nec/ccm wanahusika vifo hivyo, na watadaiwa damu iliyomwagika siku ya hukumu, kulazimisha kuwapeleka kwa mkurugenzi mawakala wote na wanalazimika kusafiri mwendo mrefu, jografia yetu sehemu zingine hairuhusu, sheria ya uchaguzi inasema wazi kwamba hata designated person yaani msimamizi msaidizi wa uchaguzi aweza kuwaapisha mawakala, ccm wauaji, nec wamechangia vifo kutokea, kila jambo huwa lina chanzo chake, Interpol wakifanya uchaguzi watabaini haya ninayoyasema