Kuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.Upande ule wana mafundisho ya ajabu sana
Muungano ni WA CIA na mi6/5Nyerere was very genius,alilijua hili mapema ndo mana aka force muungano.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Leo hutukani!!..nakuona unavyotetemeka,vijana wa kiislam walipata elimu ya dini ya kiislam s/msingi na sekondari kwa mtaala uliopo,itafuta hizo itikadi za kigaidi na kuzizuwia,NECTA wameifanya Islamic knowledge subsidiary,vijana hawatoi macho Tena....baadhi ya 'wanazuoni' wa mitaani ni hatari,Wana mafunzo ya uadui dhidi ya wayahudi na wakiristo,ilhali mtume saw aliishi nao,akila chakula Chao halali na kuwalinda Kama mkuu wa serikaliKuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.
Ila kuna wachache sana na ndio hao wanao leta fujo.
Wameshindwa kabisa kuyafafanua na kuyaelewa mafundisho mazuri ya dini ya kiislamu.
Ushauri
Waalimu wa Kiislamu kuanzia Wazazi Viongozi wa Madrasa hadi vyuo wanao wajibu wa kuwafundisha vijana wao madhumuni mazuri ya dini ya Kiislamu.
Hii ni pamoja na kuwaambia kuhusu watu wa dini nyingine kama Wayahudi na Wakristo kuwa ni watu wema pia.
Ugaidi unaanzia katika malezi ya ngazi ya familia na kuendelea.
Tofautisha kati ya malumbano ya mijadara, na swala muhimu la NchiLeo hutukani!!..nakuona unavyotetemeka,vijana wa kiislam walipata elimu ya dini ya kiislam s/msingi na sekondari kwa mtaala uliopo,itafuta hizo itikadi za kigaidi na kuzizuwia,NECTA wameifanya Islamic knowledge subsidiary,vijana hawatoi macho Tena....baadhi ya 'wanazuoni' wa mitaani ni hatari,Wana mafunzo ya uadui dhidi ya wayahudi na wakiristo,ilhali mtume saw aliishi nao,akila chakula Chao halali na kuwalinda Kama mkuu wa serikali
Usisahau na yule ostaz aliyelawiti watoto 22Waanze na msako wa mapadri wanaolawiti watoto Kama yule wa juzi aliyelawiti watoto kumi
GG
Vp mbona kama umepanic ? Ugaid na ufiraji yote ni makosa hatua kali zichukuliwe au umesahau kuna walimu wa mdrasa wengi pia wana tuhuma za ufiraji?Waanze na msako wa mapadri wanaolawiti watoto Kama yule wa juzi aliyelawiti watoto kumi

Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.
Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.
Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.
Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
Hayo tu uliyoyaandika yanajitosheleza kuonesha zinatumika nguvu za ziada kuisambaratisha Zanzibar (devide and rule).Cha muhimu haya yameonekana ktk ardhi inakodaiwa kuna nchi inafuata sheria za kidini na maandishi yameonekana ni ya dini husika pia kamanda anayetoa arifa ni dini husika basi waachwe wajichunguze sisi tunasubiri taarifa.
Nafahamu unalolisema na anaamini u katika wale wasioitakia mema Zanzibar.Umelewa dini chakari, mahaba ya dini yamekuzidi mpaka chongo lake unaita kengeza
Wale mashehe wameanza tena
Bibi kizee acha kuleta swaga za kizamani..maendeleo gani ya zenji mtu anaonee wivu kisiwa kimejaa masikini na wajinga.Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.
Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.
Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.
Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
Mapadri wameharibu wengi huko kwenu, mpk wewe wamekuharibu utotoniVp mbona kama umepanic ? Ugaid na ufiraji yote ni makosa hatua kali zichukuliwe au umesahau kuna walimu wa mdrasa wengi pia wana tuhuma za ufiraji?
Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.
Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.
Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.
Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
Ndio dini yako inavyo kufundisha kutukana ,ugomvi na kushambulia watu hovyo hivyo nakusamehe tu atufigwegwe godMapadri wameharibu wengi huko kwenu, mpk wewe wamekuharibu utotoni
Ndio dini yako inavyo kufundisha kutukana ,ugomvi na kushambulia watu hovyo hivyo nakusamehe tu atufigwegwe godMapadri wameharibu wengi huko kwenu, mpk wewe wamekuharibu utotoni