Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Kuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.

Ila kuna wachache sana na ndio hao wanao leta fujo.
Wameshindwa kabisa kuyafafanua na kuyaelewa mafundisho mazuri ya dini ya kiislamu.

Ushauri
Waalimu wa Kiislamu kuanzia Wazazi Viongozi wa Madrasa hadi vyuo wanao wajibu wa kuwafundisha vijana wao madhumuni mazuri ya dini ya Kiislamu.

Hii ni pamoja na kuwaambia kuhusu watu wa dini nyingine kama Wayahudi na Wakristo kuwa ni watu wema pia.

Ugaidi unaanzia katika malezi ya ngazi ya familia na kuendelea.
Waislamu duniani sio wajinga kama ambavyo mnajaribu kuwafikiria. Kwa muislam aliyejaribu kusoma sana Quran na kuielewa kweli kweli asipojihusisha na jihad basi ujue moyoni mwake anapambana sana. Kiukweli kuna mafundisho mengi sana ambayo yanashawishi kufanya matendo ambayo general population tumeya-term kama matendo ya kigaidi.

Kwa anayetaka kujua zaidi anicheki nimtumie kitabu kilichoandikwa na Pakistanian Devout Muslim kinaitwa 'ANSWERING JIHAD: A better Way Foward'
 
Naomba aya 1 nipate elmu
Vijana wanalishwa sumu. Ili wajilipue mabomu

Quran ina verse zaidi ya 40 zinazoongelea vita ya kupigania dini (Jihad)

Magaidi wanazitumia hizo verse kuwashawishi vijana watoroke kwao na kwenda kupigana vitu ya kidini...
 
Waislamu duniani sio wajinga kama ambavyo mnajaribu kuwafikiria. Kwa muislam aliyejaribu kusoma sana Quran na kuielewa kweli kweli asipojihusisha na jihad basi ujue moyoni mwake anapambana sana. Kiukweli kuna mafundisho mengi sana ambayo yanashawishi kufanya matendo ambayo general population tumeya-term kama matendo ya kigaidi.

Kwa anayetaka kujua zaidi anicheki nimtumie kitabu kilichoandikwa na Pakistanian Devout Muslim kinaitwa 'ANSWERING JIHAD: A better Way Foward'
Mkuu kiweke tu hapa..hakuna haja ya pm.

Let the world see.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naomba aya 1 nipate elmu

Moja haitakutosha Nakupa chache hizo uanze nazo.

Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.”

Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran”

Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them”

Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them”
 
Magaidi tayari wameanza kuleta chokochoko za kukataa uhuru wa kuabudu kwa wakristo.

Serikali isicheke na hawa tumbili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom