Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Ngumu sana kutenganisha haya masuala ubaya wanao jiripua hawataji kitu kingine zaidi ya wanae mpigani wangekua wanataja hata putini sawa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanaenda kujificha somalia na msumbiji uku Tanzania ni kuondoa
Nakumbuka ssh aliwahi kusema zenji ni kisiwa kidogo sana ila ni eneo hatari kwa usalama wa nchi.

Polisi isicheke na nyani awamu hii mana hao jamaa ni washenzi na makatiri mbaya..hakuna kupeleka mtu mahabusu awamu hii.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom