Mawakala wa ugaidi wabainika Zanzibar, mafundisho ya madrasa kufuatiliwa

Upande ule wana mafundisho ya ajabu sana
Kuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.

Ila kuna wachache sana na ndio hao wanao leta fujo.
Wameshindwa kabisa kuyafafanua na kuyaelewa mafundisho mazuri ya dini ya kiislamu.

Ushauri
Waalimu wa Kiislamu kuanzia Wazazi Viongozi wa Madrasa hadi vyuo wanao wajibu wa kuwafundisha vijana wao madhumuni mazuri ya dini ya Kiislamu.

Hii ni pamoja na kuwaambia kuhusu watu wa dini nyingine kama Wayahudi na Wakristo kuwa ni watu wema pia.

Ugaidi unaanzia katika malezi ya ngazi ya familia na kuendelea.
 
Leo hutukani!!..nakuona unavyotetemeka,vijana wa kiislam walipata elimu ya dini ya kiislam s/msingi na sekondari kwa mtaala uliopo,itafuta hizo itikadi za kigaidi na kuzizuwia,NECTA wameifanya Islamic knowledge subsidiary,vijana hawatoi macho Tena....baadhi ya 'wanazuoni' wa mitaani ni hatari,Wana mafunzo ya uadui dhidi ya wayahudi na wakiristo,ilhali mtume saw aliishi nao,akila chakula Chao halali na kuwalinda Kama mkuu wa serikali
 
Tofautisha kati ya malumbano ya mijadara, na swala muhimu la Nchi

Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.

Hapa nazungumza kama kiongozi wa jamii. Mjenga nchi.

Uwe unajua kutofautisha wapi pa kuzungumza nini.
Tukutane jukwaa la Dini na sio kwingine.

Hata wewe hapa umeongea masuala ya maana sana kama kiongozi.
Nadhani viongozi wa Elimu na Mitaala wamesikia na huenda wakayafanyia kazi mawazo yako mazuri.
Tutakufikiria kwenye teuzi zijazo

Safi sana kijana.
 
Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.

Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.

Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.

Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
 
Waanze na msako wa mapadri wanaolawiti watoto Kama yule wa juzi aliyelawiti watoto kumi
Vp mbona kama umepanic ? Ugaid na ufiraji yote ni makosa hatua kali zichukuliwe au umesahau kuna walimu wa mdrasa wengi pia wana tuhuma za ufiraji?
 
Umelewa dini chakari, mahaba ya dini yamekuzidi mpaka chongo lake unaita kengeza
Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.

Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.

Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.

Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
 
Cha muhimu haya yameonekana ktk ardhi inakodaiwa kuna nchi inafuata sheria za kidini na maandishi yameonekana ni ya dini husika pia kamanda anayetoa arifa ni dini husika basi waachwe wajichunguze sisi tunasubiri taarifa.
Hayo tu uliyoyaandika yanajitosheleza kuonesha zinatumika nguvu za ziada kuisambaratisha Zanzibar (devide and rule).
 
Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.

Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.

Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.

Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.
Bibi kizee acha kuleta swaga za kizamani..maendeleo gani ya zenji mtu anaonee wivu kisiwa kimejaa masikini na wajinga.

Au umesahau kauli ya ssh kuwa zenji ni kisiwa hatari kwa usalama hadi akalitaka jeshi la polisi kuongeza nguvu katika kisiwa hicho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Akili za kawaida tu, ni wazi wasioitakia mema Zanzibar wapo kazini.

Mbinu inayotumika ni kupandikiza kansa ili Wazanzibari waanze kuchafuana wenyewe kwa wenyewe (devide and rule). Serikali zetu zote mbili, ya Zanzibar na ya muungano ziwe makini sana.

Sababu za kuihujumu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla zipo nyingi sana, inaweza kuwa soko la utalii, inaweza kuwa laana ya utajiri wa mafuta, inaweza kuwa maendeleo yote kwa ujumla ya Zanzibar na Tanzania.

Serikali ichunguze kwa umakini sana, isikurupuke. Binafsi naiona mbinu ya "devide and rule" ikitumika hapo.

wasioitakia mema zanzibar yenye rais wa jamhuri mzanzibar???kwanini sio mwaka juzi!!!
 
Back
Top Bottom