Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,657
- 8,592
Yaani sijui wewe ni Mtanzania wa wapi! Hujui kuwa malipo yoyote CCM yanafanywa kwa 'Control Number'? Hujui kuwa tunapewa risiti za EFD? Au unasikiliza maneno ya mtandaoni? Ebu kesho jaribu kwenda ofisi yoyoye ya CCM jifanhe unataka kulipia kadi ujiridhishe binafsi badala ya kuambiwa Dogo!Mlisha wahi kulipa,tupe mkeka wa uhakiki uliofanywa na ile tume, tupitie mradi mmoja baada ya mwingine tuone asiyelipa kodi ni nani.