Mawakala CHADEMA walipe kodi la sivyo wakumbane na Mkono wa Dola

Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
Chadema digital yaichanganya ccm , hali iko hivi nchi nzima

Twaha__Mwaipaya_on_Instagram:_“Kumekucha_Chadema”%22_.jpg
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.m

Yaani sijui wewe ni Mtanzania wa wapi! Hujui kuwa malipo yoyote CCM yanafanywa kwa 'Control Number'? Hujui kuwa tunapewa risiti za EFD? Au unasikiliza maneno ya mtandaoni? Ebu kesho jaribu kwenda ofisi yoyoye ya CCM jifanhe unataka kulipia kadi ujiridhishe binafsi badala ya kuambiwa Dogo!
Muongo mbona rafiki yangu alinunua jezi ya ccm mwanzo wa mwezi pale Dodoma makao makuu ya chama chenu karibu na Nmb hakulipa KWA control number na hakupewa risit ,hivi nyie ccm lin mtaacha kua wahongo ,
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
You look agitated. Get reminded that the Magufuli era is gone. By the way, you are also implying that CCM agents selling membership cards in offices should also pay the same tax because they get a bonus for each unit sold.
 
Jikite kwenye hoja

Mleta mada tafuta mume akutoe nyege siku sio nyingi utarukwa na akili ukibaki hivyohivyo bila kugegedwa!
 
Back
Top Bottom