Mawakala CHADEMA walipe kodi la sivyo wakumbane na Mkono wa Dola

Mlisha wahi kulipa,tupe mkeka wa uhakiki uliofanywa na ile tume, tupitie mradi mmoja baada ya mwingine tuone asiyelipa kodi ni nani.
Yaani sijui wewe ni Mtanzania wa wapi! Hujui kuwa malipo yoyote CCM yanafanywa kwa 'Control Number'? Hujui kuwa tunapewa risiti za EFD? Au unasikiliza maneno ya mtandaoni? Ebu kesho jaribu kwenda ofisi yoyoye ya CCM jifanhe unataka kulipia kadi ujiridhishe binafsi badala ya kuambiwa Dogo!
 
Kadi ni jambo jingine,tunataka kufuatilia katika orodha ya ule uwekezaji wote,wenu mnalipia.
 
Mtoa post Kama ni mwana ccm hajui au hafahamu kinacho endelea ndani ya chama chake,hajui Kama chama Chao toka 2018 kabla ya uchaguzi serikali za mitaa mfumo huu wa usajili ulisha anza kitambo na Wana mawakala,,mfano kwa Musoma mjini wanasajilia "Fugo",fungo ni miongoni mwa mawakala usajili wa wanachama ccm kidigitali,labda tofauti na chadema wao wanatarajia kuwa na wakala wengi Kama wasajili line za ccm,
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, Chadema wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au Chadema wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa Chadema na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi
Kulipa kodi sio ubabe. Ni wajibu.Unafikiri hizo barabara mnazotaka kutumia kufanya maandamano pesa za kutengenezea anatuma Robert Amsterdam!?
Tatizo sio kulipa kodi mtu kama anaweza kuiba kura anashindwa kuiba kodi?
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
Wai chatttle gwaji boy leo anaenda kumfufua mwamba wa mabua
 
Zile 20,000/= wanazochangishwa kila Mmachinga zinatozwa Withholiding Tax?

Anza na pesa wanayotozwa Machinga kutaka itozwe kodi = TRA MPO?
na pesa za vile vitambulisho asilimia kubwa zimeingia kwenye mfuko wa jiwe
 
Lipa kodi bila shuruti kamanda
haha hakuna anaekataa kulipa kodi.
ila mpaka mamlaka ya nchi ambayo ni TRA itamke.
si ww. maana ww huna mamlaka yoyote nchi hii. unanitungia kodi kichwani undhan TRA watakusikiliza.
those day are gone brother.. tafuta njia nyingine
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
Unajua sheria ya kodi kwenye vyama vya siasa? Au unaandika tu sababu una simu janja?
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
Wazo jema kabisa.
 
Rais SSH hapendi wanafiki wanaojipendekeza kwake, anza kutumia akili yako kujikimu kuliko huu ujinga. Usiishi kwa mazoea kwamba Mwenzake aliwapenda wenye chuki kwa CDM na Rais Samia awapende. Hakuna.
 
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.

Hivi mkuu kuna uzi wowote uliowahi kuandika bila neno Chadema ndani yake?

Haitakuwa hata ndoto zako zina uchadema chadema kweli ndani yake?

Kulikoni mwana (dada/kaka) wee?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom