Labda hujasoma vizuri hapa naongelea urafiki.Wewe jana si ulikuwa unamfukuzia Lizzy Licious wewe? Leo umehamia kwa 'Chelle?
Labda hujasoma vizuri hapa naongelea urafiki.Wewe jana si ulikuwa unamfukuzia Lizzy Licious wewe? Leo umehamia kwa 'Chelle?
makubwa.....kua uyaone....ehe tukutane kwa mkuu wa wilaya basi tufunge ndoa yaishe....ndo napaki,manake nilivyokuwa najiuliza kwanini hunioi leo umesema basi ngoja nikuwahi usije ukapata kisababu kingine....l.o.lFanya haraka mie nataka kuleta mshenga bana! mpaka sasa kikwazo cha ndoa yetu ni hiki tu, adhawaizi mtoto umetulia kuliko festiledi wa sri lanka. aaakh jamani nakufa mie!
Inategemea uelewa wa mkewe. Wanawale wengine ukimpeleka salon ya kike utakiona cha moto. Ataanza maswali umepajuaje na wewe mwanaume? Unamletaga nani huku?
Labda amtumie wifi yake.
Unakubali kuwa nakufukuzia ? hahaha! mijasho yote ya nini na usiku tunakutana home lol!Anasoma mazingira....
hata ungenikosea na kuniudhi singeacha kuelewana na wewe Uporoto, uwe na amani,hujanikosea wala kunikwaza.....nami pia nahitaji urafiki wako sana!Jamani Michelle tulikuwa tunaelewana sana muda flani siku hizi mhh! naomba unisamehe kama nilikukosea/kukukwaza kwa njia yoyote ile nahitaji urafiki wako sana.
Nitakufukuziaje na tuko pamoja labda tuimarishe tu kwa sasa.Khaaa....kwahiyo kumbe sio??!I‘m so broken right now!
I see...unapiga na suruali ya rangi gani?!
Karibu mami...kaa dawati la mbele na Kloro !
Kwavile tupo kwenye sredi la mavazi hebu ongea, nipige suti la rangi gani?makubwa.....kua uyaone....ehe tukutane kwa mkuu wa wilaya basi tufunge ndoa yaishe....ndo napaki,manake nilivyokuwa najiuliza kwanini hunioi leo umesema basi ngoja nikuwahi usije ukapata kisababu kingine....l.o.l
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!
Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
Bahati ilioje kukaa dawati moja na MJ1! haya tuendelee mwalimu wa mavazi ya vitenge.Karibu mami...kaa dawati la mbele na Kloro !
Kwavile tupo kwenye sredi la mavazi hebu ongea, nipige suti la rangi gani?
Khaaa! suti la pink kwani natoka mombasa?, michelle kuwa serious bana. Lizzy naomba mchango wako wa harusi kabisa.La pink au cream mpenzi/mume mtarajiwa Kloro wa ukweli....l.o.l:dance::dance::dance:
Bahati ilioje kukaa dawati moja na MJ1! haya tuendelee mwalimu wa mavazi ya vitenge.