Mavazi ya kanisani balaaa...

Status
Not open for further replies.
Biashara ni matangazo ndugu yangu. Watu tunataka tuone miguu ya bia na compyuta mpakato.

Wewe kama unavutiwa sana na matangazo hufai kufuga hata bata maana ungekuwa unawameng'enyua sana!ama ungekuwa doc ambapo wanakuvulia nguo kabisa si ungekuwa unazilamba kabisa!!Akili ukiiendekeza ndio matokeo yake hayo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Tatizo ni wachungaji wao wanapo tilia mkazo utajirisho au mafanikio tu eti gari nyumba wanaacha mambo ya adili ole wao.......mavazi ya kukosesha ni chukizo kwa Bwana.

 
Biblia imeongelea kijisitiri kichwani, yaani hata kama una nywele ndefu umejisikiri

hapo ata me najua ila mavazi ya kuanzia kwenye shingo haijasema nahisi ilifanya hivyo ili ila jamii kwan namna wanavyoona ni sahihi kujisitiri ifanye kutokana na utamaduni uliopo
 
Unashangaa hayo makanisa mengine wanaingia uchi kabisa:

The Naked Church
At Ivor Church, Clothing Is Optional

nude.jpg

UnitedChurch_GladYouCouldMakeIt_Nudists.preview.jpg

 
Mavazi ni uhuru wa mtu ili mradi havunji sheria za nchi,kanisa ikiwa na yenyewe ni taasisi inayofuata sheria za nchi,haipo kinyume na mavazi yanayokubalika kisheria.Hayo uliyoelezea hii ni kutokana na uonavyo wewe na sio sheria za nchi.

Dini haitaji siasa ...sheria inatettea kuvaa 1/2 uch kanisani..SHERIA ZA MUNGU VS SHERIA ZA SIRIKALI YA TZ
 
wachungaji wa siku hizi wanachoangalia ni sadaka tu na michango ya kanisa
tena hawawezi kuwadhibiti mabinti ambao hata nyumbani usikute wameshindikana wataanzia wapi??????,??
 
wachungaji wa siku hizi wanachoangalia ni sadaka tu na michango ya kanisa
tena hawawezi kuwadhibiti mabinti ambao hata nyumbani usikute wameshindikana wataanzia wapi??????,??
 
Du! Mwisho wa dunia umekaribia ndio maana dada zetu wameamua hata sehemu takatifu kupageuza sehemu ya kujitangazia soko lao. Lakini mleta uzi kumbuka hata kipindi yesu amekuja aliwahi wafukuza watu waliokuwa wakifanya biashara kanisani.
 
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk

Ni mapepo tu yanawaongoza kuvaa nusu uchi na kwenda kanisani. Hawana akili kabisa hao. Wakienda kwenye interviews wanavaa vizuri ikija kwenda church basi ni mwendo wa kuvaa nguo size za watoto wadogo ili wakavuruge ibada. Wanamtanguliza shetani bila kujijua na ukisema basi weeeh ugomvi!! Wachungaji wanasogopa kupoteza waumini ndo maana wanayamaza tu (ingawa wachache wanasema). Siku nikipata hiyo chance ya kusimama madhabahuni nafikiri 70% ya females nitawatoa nje unless siku hiyo wawe wamevaa kistaarabu.. Ama kweli wanaume tuna shida. Hawa viumbe ni wazuri lakini mambo yao..... Hawajali kama kanisani kuna baba zao, waume wa wenzao, kaka zao, etc wao wanaenda kuwaonyesha mapaja yao na mistari ya chup zao imepita wapi... Mungu aturehemu tuu....
 
Wewe ungekuwa na akili shetani asingelala kwenye pua zako na asingechezea ma.--ta--ko yako
 
Wagalatia akili hawana wanahalalisha mpk ndoa za jiinsia moja,

Wewe ungekuwa na akili usingechezewa ma ta.ko yako na mashetani.
Wenye akili shetani halali kwenye pua Zao na wala achezei ma.ta.ko yao
Katika kitabu kiitwacho Mkweli
Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa
Mohamed Al- Kindy wa Muscut
Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na.
74.
“ Anamwijia mmoja wenu shetani
(Jini) katika sala basi anapuliza
(anampuliza) katika ---ma.ta.ko--- yake,
basi (yule mtu) inamuijia fikra ya
kuwa umemtoka upepo (kafusa) kajamba
naye haukumtoka, hakujamba basi akiona
namna hiyo asiondoke (kwenye
sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka
upepo) au anuse harufu ( ya huo
upepo uliyomtoka, kijambo ndio aondoke).

Sasa unijibu ni nani mwenye afadhali hapa? Ni anayevaa nusu uchi asiyechezewa na mashetani, au ni wanayevaa na kufunika kucha mpaka macho ambao shetani analala kwenye pua zao na kuchokonoa ma.ta.ko yao? Nachotaka kusema ni kwamba hata uvae nguo ufunike kuanzia kucha mpaka macho kama shetani anakutawala anachezea --ma.ta.ko yako na kulala kwenye pua zako wewe ni panya tu!

Kumbe mavazi ayawezi kumzuiya shetani asichezee ma.ta.ko ya waislam?

Kumbe ata sala za waislam azisikilizwi ndio maana hazina uwezo wa kumzuiya shetani hasiwachezee!
 
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Katika Quran 19:83 “ Je, huoni ya
kuwa tumewatuma mashetani juu
ya makafiri wanaowachochea
kufanya mabaya?”

Allah Ndiye anayetuma mashetani wawakoseshe ili wakosee, waende pamoja na allah jehanam.
 
wachungaji wa siku hizi wanachoangalia ni sadaka tu na michango ya kanisa
tena hawawezi kuwadhibiti mabinti ambao hata nyumbani usikute wameshindikana wataanzia wapi??????,??

99% Matatizo ya dunia sasa hivi ni matokeo ya kuvunjikwa kwa maadili.
Kanisa kwa sasa ni biashara kama biashara nyingine. Injili juu ya maadili ni kufukuza wateja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom