Mavazi mengine, we acha tu!!

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,952
2,000
Ndugu zangu wana JF katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya mwanchi kapigilia vibwalo vya jeans inayozingatia sera za Uwazi na Ukweli, tafadhali nawe shuhudia!!!


Mbombo ngafu.jpg
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
53,288
2,000
Mkeo umemuacha home, halafu wewe umenda kazini.
Ukiwa kazini unapigiwa simu ya dili, unakatiza Mtaa wa Samora unamkuta wife wako kavaa hicho kivazi huku kakumbatiwa na bwana la kizungu
 

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Hii ni Tanzania kweli? Na kama ni Tanzania ni maeneo gani hasa? Au itakuwa ni maeneo hatarishi (High risk areas) kama ilivyo corner bar, joly club na maeneo mengine ambapo biashara ya kujiuza inashika kasi?

Kama mtu huyu hausiki na aina yeyote ya biashara ya ukahaba, basi ujue kuwa anytime baadhi ya wadada wa Kitanzania wataanza kutembea uchi, tuwe macho na tupige vita hii hali kuokoa vizazi vyetu vijavyo!
 

babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,879
2,000
Hahahahahahahaha ah sijui kwa nini ila kila nikiangalia najisikia kucheka! Ila kiukweli anajiexpress, na ni haki yake pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom