Mavazi mengine, we acha tu!!

Mavazi mengine, we acha tu!!

dunia tunapita na kila kitu kitabakia, tuzidi kuwaombea
 
Yaani hawa viumbe isingekuwa sheria wangetembea uchi kabisa.....................!:biggrin1:
 
Best kuwa na heshima na kujaaliwa tafauti bwana. Mbona huyo wa pembeni yake pia hajajisitiri kwangu mie, manake sehemu za chumbani kaweka kwa hadhara? Mie hapo nimeona majaaliwa tu, hizo zingine sijaona manake nimemfunika nguo. Blame it on my innocent, babyish, unspoiled mind, lol:shut-mouth:

Mhhhh! Best hakuna majaaliwa hapo ni kujivunjia heshima tu duh!!!!
 
Nilijua huko ndiko munakoelekea!
Anagalia mfuatano wake hapa:
1.Kuonyesha magoti,
2.Kuonyesha mapaja
3.kuonyesha matiti
4.Kuonyesha kitovu na tumbo.
Sasa baada ya hapo ni ****** then K na 071.
Hatari kweli!
 
what hell is this? ama kwel duniani kuna mengi , i wish ningekuwa karibu nae nikamslap viboko angalau v2 kwenye hayo makario yake am sure she will feel gudda. :smile:LOL
 
Yaani hapo vitu vyote vibaya vinahusika; kuanzia majani, valuu, cocain nk.
 
angekuwa kiportable nahisi angevuta, lakini tko lina dimples! mmh!
avatar ya mwanzo lara 1 ni mfano tosha. plse irudishe
 
Mkeo umemuacha home, halafu wewe umenda kazini.
Ukiwa kazini unapigiwa simu ya dili, unakatiza Mtaa wa Samora unamkuta wife wako kavaa hicho kivazi huku kakumbatiwa na bwana la kizungu

Buji buji nitaua mkuu acha kufananisha huu ni kichaa tena, mtu mzima mwenye akili akavaa nguo kama hivi
 
Hiyo inaitwa ILLUSION-macho yako yanapolazimishwa kuamini taswira iliyoko kwenye ubongo badala ya kitu halisi!
 
Back
Top Bottom