Mauwa

Mtumishi wa Mungu nenda kariakoo,lakini nadhani hata maeneo uliyopo unawezapata
 
Mbuyuni pale kona ya kuelekea kanisa la Saint peters (oysterbay) yapo teeleee....Red roses and white roses. Utakuta vijana hapo..
 
Ila kama unataka yale ya artifical hata stationery ya jirani na kwenu utayapata....!
 
Rev Happy new year good to see you again ..
0091.gif
0008.gif
 
Shoprite mlimani city wanauza bei rahisi sana. Yale ya kona ya st peters huwa wanashikisha, siku ya pili tu yananyauka. Angalia namanga, kwenye mataa there is Dina Florist. Ubebe ubishi wa bei kama wa kilo moja hivi...
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom