Mauwa

Basi na wewe badilika kwanza...Unataka kibadilike kitu gani kama unaendelea kuvaa hiyo kofia na ndevu hunyoi??

Babu DC!!
Nikimpelekea mzenji mauwa ya Rose atashangaa sana! Atajua Pendo limeongezeka na kumbuka ni muda wa lunch, tutatoka wote kwenda kula chips dume na Maji ya uhai. Hapo mzenji lazima ataniogesha na Maji yenye iriki, nikikalishwa kwenye kigoda na mambo kwenye kisosi! Mapenzi kujituma Mzee mwenzangu
 
duh, unajinunulia na kujitumia?

Kuna vitu vingine
labda uwe a 'female woman' ili uweze kuvifanya
kwanza hiyo attension, inaudhi
afu iwe umejitumia mwenyewe, inatisha

wapo aisee... wana issues kuliko vyama vya siasa:alien:
 
Nikimpelekea mzenji mauwa ya Rose atashangaa sana! Atajua Pendo limeongezeka na kumbuka ni muda wa lunch, tutatoka wote kwenda kula chips dume na Maji ya uhai. Hapo mzenji lazima ataniogesha na Maji yenye iriki, nikikalishwa kwenye kigoda na mambo kwenye kisosi! Mapenzi kujituma Mzee mwenzangu

Mhhhhh,

Kama ndo mambo yenu ya sayansi na teke linalokujia kwa kasi poa tu....

Ila kwa uzoefu wangu na majirani zangu wa Tanga na Zenji,

Mie ningemnunulia moja kati ya yale magauni makubwa wanayovaa kwenda kwenye taarabu na kuchomekea kwenye nanihi...(nasikia wanaita sijui dela....sina hakika ila Kongosho atanisaidia)!!!!

Babu DC!!
 
Haya mambo umeyaanza lini kamanda??

Na wewe umeshauvaa mkenge wa egoli egoli??

Mie nilidhani utarudi na bonge la jogoo kutoka kule ulikolia new year ili shem na wadau tupate supu???


Very disappointed mura!!

Babu DC!!

Babu umenichekesha sana, unamaanisha kuwa Rev kawa brazameni lol........
 
Wapendwa wana MMU

Heri ya Mwaka mpya. Jamani naomba mnijuze hapa Dar Mauwa ya Rose naweza Nunua wapi nimpe Mzenji wangu siku ya kuzaliwa kwake wiki ijayo! Walau mwaka Huu nimsurprise!
Mch

Rev kama unaweza kuwa na watu wa kuwatuma Arusha kuna maua ya ukweli sana......
Ila masikini sijui kwanini Lizzy ameamua kwa makusudi kabisa kukufanyia ukatili kwa kukataa na kujikausha utafikiri hajui...
 
Rev kama unaweza kuwa na watu wa kuwatuma Arusha kuna maua ya ukweli sana......
Ila masikini sijui kwanini Lizzy ameamua kwa makusudi kabisa kukufanyia ukatili kwa kukataa na kujikausha utafikiri hajui...

Hahaha sasa jG maua kutoka huku kote wakati hayotadumu hata wiki, tena si ajabu yafike yamenyauka. Acha yaendelee kukaa bustanini tuendelee kufurahia mji wetu.
 
Kaka,

Kwa umri huu tulionao,...nina hakika kabisa sitanunua maua katika maisha yangu yaliyobaki!!

Kama ni kupigwa bao/kibuti....Hicho kikombe nitakinywea tu bila kinyongo!!

Mie nahangaika na magunia ya mikaa, metenga ya kuku wa kienyeji, vikapu vya matunda ya Lushoto, vitenge vya Waxy n.k!!....Wapi The Boss??

Haya nawaachia wenyewe muendelee tu.....I already played my part!!

Babu DC!!

ha haaaa aisee
kumbe angalau bado chama halijafa.....nilishindwa
hata kufungua huu uzi.....nilipoona head ni maua...
dah...angalau umeniwakilisha lol
 
Halafu unaweza kukuta huyo anayempelekea maua hajapata msosi leo siku ya pili...anafanya kupiga dash..!!

Mhh....ngoja tumwache Mchungaji asije kusema tunamletea mambo yetu ya 1947!!

Anayaangalia maua Rev aliyompelekea, usoni anamuonesha tabasamu (la kinafiki), rohoni anasema, "huyu mwanaume bana, sasa mimi maua ya nini? na wakati hapa hata sijala chakula cha maana, toka juz mimi chips kavu tu?! angeninunulia japo DIRA (sijui kama nimeandika sahihi),labda ningemuona wa maana!!"
Si unajua kwa mabinti wa siku hizi kati ya kula na kujiremba(nywele, kucha, kuvaa,n.k), kujiremba ndo kunatangulia!!

Ngoja tumwache baba mchungaji aisee anaweza kusema tunataka kumpeperushia ndege wake wa kizenjiBARA:eyebrows:!!!

 
Unashangaa kujinunulia maua? Mi nimeona chuo mtu anajinunulia engaement ring ya kufa mtu. Jamaa alipoingia mtini, bahati nzuri baba yake akafariki, so mdada akajirithisha pete ya ndoa. Chezeiya show eeh?!
duh, unajinunulia na kujitumia?

Kuna vitu vingine
labda uwe a 'female woman' ili uweze kuvifanya
kwanza hiyo attension, inaudhi
afu iwe umejitumia mwenyewe, inatisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom