Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
hata akivua nguo anaruhusiwa ila cha management awe anamchezea Mungu.
Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!
Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.
Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.
Hii kali hapa unataka kumaanisha kama unaenda kanisani kumuomba mungu hata ukiwa uchi hamna shida sasa hii ni akili matope
Hii kali hapa unataka kumaanisha kama unaenda kanisani kumuomba mungu hata ukiwa uchi hamna shida sasa hii ni akili matope
Wanajiita kizazi kipya! Hadi makanisani siku hizi wamo!
freemason
Muziki wa Injili bongo umeingiwa na chachu! Watu wamegeuza kumsifu Mungu kwa mtindo wa muziki wa dansi. Napenda muziki wa Injili wa makanisa ya AIC, Roman Catholic na Sabato. Haya makanisa mengine yaliyochomoza kama kama maua Rose lakini miiba ni mingi kuliko maua yenyewe. Rose Muhando amelewa sifa anaanza kujisahau.
Acha nyege!!Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
I am very pleased with this observations ...!!kuna mahali nimeona anashake boobs tena mwenyewe hadi nikakoma,Ila ndo hivyo ukiongea sana kuwakosoa hawa wengi watakupinga,kuna style ambazo watu hawawezi kucheza mbele za baba au wajomba zao lakini wanamchezea Mungu ukihoji unaambiwa mbona David alicheza hadi nguo zikadondoka.Ulokole wa siku hizi ume adjustiwa ili uwe mrahisi ndo mana mambo mengi yanaacha maswali.