Maumivu ya moyo....!!!

Pole Sana jibu tafuta mnyonge wako utafune upunguze hasira,...pombe zitakupa stress,.. Kuhusu uyo manzi achana nae endelea na Maisha,...
 
Kuwa kama mimi tu mkuu,don't settle to them..watakuumizs sana,pole sana...ilikuwa upitie huo mtihani ili ujifunze
 
mi nakushauri usiachane naye kwanza, maana ukimwacha hapa kati hiyo hali itakuwa mno smooth afu ataendelea na huyo jamaa kwa uhuru zaidi UTAKUJA KUJINYONGA BURE.

Usimwache tena, ongeza mapenzi ya kuigiza kaa naye karibu, usionyeshe dalili yoyote.

Wakati huo...,
1. mtafutie huyo jamaa adhabu inayomstahili, kama alikuwa anajua kuwa huyo ni demu wako afu yeye akaendelea hivo hivo kipimo ni chako

2. tafuta alternative yake kwanza. hata kama ni temporary.

3. mfukuze huyo, kwa kumshusha heshima, kipimo ni chako.

make sure baada ya kuachana naye haendelei tena na huyo jamaa, narudia tena make sure haendelei tena na huyo jamaa kwa afya yako.

Endelea na maisha yako. hakustahili wewe.
 
Duuuh pole sana ndugu but me nakushauri uachane nae bcz huyo best yako atakua akikusaidiaga muda mwingne maana mtalaka hatongozwi mkuu
 
Asante mkuu, kiukweli inauma sana mkuu. Nahisi uamuzi wa maana nikuachana nae aendelee tu na.huyo jamaa
....Ondoa neno "nahisi" make decision now kabla hawajawa mke, huyo hafai hata kidogo. Assume ndo mmeshaoana na mna watoto ndo ukakuta hizo texts
 
Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
....No more feelings hapo
 
I was a fool thinking that she loved me the same as I do to her
....One lesson kwa nyie ambao mnachumbia or still searching usiingie mzima mzima na kuonyesha mapenzi 100 percent, weka akiba kidogo itakusaidia baadae.
 
Kaa nae muyazungumze, kumuacha sio njia salama kama ni kosa la kwanza. Face reality bro. Ndio walivyo, then jitahidi kumuonesha kuwa hujaumia, na toa neno la kumsamehe baada ya kumuonesha huo uchafu. AKIWA MKAIDI MTUE.
 
Kweli nimeamini kuna wanawake wanahangaika sana mwisho watakosa vyote,wakati wengine tunaombà Mungu tupate mwanaume anayejielewa kama donlucchese.

Pole ndugu,hapo ni kumuacha aishi maisha yake,bado hajaona umuhimu wako.

Hili tukio pia ni darasa kwako kutokuamini kila mtu,hata rafiki zako.
 
mwana pole sana sana sana!!
naona hiyo ni arusha na maeneo ni maeneo yangu hayo kabisaa
 
....Hahahaaaa umenikumbusha mbali, hii itakuwa kwenye movies nowadays mkuu siyo?
 
mpige chini polepole tena bila kumpa sababu mwambie nimekuchoka tu nimejisikia tuachane
 
Umeongea kwa hisia sana hadi nafsi imeguswa
 
Mtumie hizo screenshot halafu unyamaze..

Usiongee sana aone kama imekuuma au vipi... we mwambie tuu unashukuru , then mmblock kwenye simu , message na sehemu zote..

Tulia tuliii... na kama una kumbukumbu zake kama picha destroy zote usije kumtamani buree ukamtafuta
 
Utoe adhabu kwani umeoa? Au umetoa barua? Unajulikana kwao kisheria?
Unataka utoe adhabu afu umuache au uendelee nae? Una ujasiri wa kumuacha?
Kwa kifupi wanawake wengi tu hawawezi kutulia kwenye mahusiano kwa na mtu mmoja muhimu ni hsshima tu.
Kama unaweza kumuacha muache bila adhabu na kama huwezi kausha tu kama hujaona kitu.
Wanawake ndivyo walivyo na usingeona hiyo kitu usingehisi chochote.
Fanya maamuzi ya busara
 
Chief pole sana kwa yaliyokukuta...achana nae ujue ni bora kuhisi mtu anacheat kuliko kuona sms jamaa linasifiwa kumkojoza mtu ilihali ww unaishi nae unahudumia,Huduma ya mwili unampa lakini huenda hajawahi kukusifia so usilee ugonjwa fukuzwa tena usiku as manane ningekuwa mm hapo tungeshagawana maeneo yeye mortuary mm jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…