Maumivu ya moyo....!!!

pole jamaa!Ila ili nafsi yako iwe huru zaidi ma muachane kwa wema,muite mzungumze na topic iwe yeye kutembea na huyu Njemba,na direct hiyo hard talk isiwe ya kufanya resolution,mwambie tu unamtakia maisha marefu
 

hii nayo nzuri
 
Poleo sana, kwanza mshukuru Mungu kwa kumgundua mapema kabla ya kusogea hatua nyingine.Cha msingi jipe muda wa kutulia, kutafakari na kuweza kufanya maamuzi sahihi.
Epuka kulipiza kisasi maana itakuletea madhara huko mbeleni
 
kweli mkuki kwa nguruwe,ingekua ni dada ndo kaleta mada mngeponda ila kwakua ni mwenzenu mmepoaaa.....
ndo mkae mkijua na nyie mkichepuka tunaumia pia...

huyo dada kakosea pia,pole kaka..au prolly karma is fucking you up...either way pole tena ila we mwenyewe angalia wapi panakupa faida zaidi kati ya kutemana nae au kusolve nae hiyo issue....
 
Huyo mwanaume mwenyewe anakojoa mapema kwa hiyo haifaidi sana..msamehe tu mkeo for the sake of children..si ndio mnasemaga hivyo.
anayekojoa haraka ni mwanamke hujaelewa nini?
 
Mtengenezee mazingira ili ashawishike kukuacha,na huyo jamaa kuwa peace naye2,baadaye ww ndio utaonekana mjanja zaidi.
 
mwanamke si wa kumuamn ever sifanyi hivo expect mama yang.....piga chini huyo but b4 that mtumie na wewe na vidole juu
 
Mkuu usiache kuleta mrejesho huku kwa kila kitakachotokea wewe umeshakuwa mwana Familia na Jambo umeliltea kwa wanafamilia hivyo mrejesho tutashukuru kuona kilichoendelea.
 
Kusolve tena watu washakula mbaya zaidi anamjua mlaji....maybe lkn
 
Dah imeniuma kama vile ni demu wangu....me ningemfukuza kama mbwa yani kwa kumtupia nguo zake nje zikifuatiwa na begi na viatu..
 
Aiseeeee!☹️☹️☹️ Kwanza pole sana mkuu. Lakini pia Mungu amekusaidia kukuonesha njia mapema, cha msingi nenda kwanza ukapime afya yako n then ufanye yako, usimwambie chochote we kata mawasiliano nae kabisa, ukiona anakusumbua mtumie hizo picha itakuwa jibu tosha kwake, otherwise pole sana kaka ndo mapenzi ya sasa hivi yalivyo na usiamini kupita kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…