Maumivu ya moyo....!!!

Pia pole sana mkuu Wangu inaumiza sana.pia usiumize sana akili juu yake maana ataanza kujidai kwake hauna jeuri
 
Kama nauona wimbo wa ben pol -phone....ukazama in bobo uka chat na mtoto wa kigogo...usiguse usiguse......!!!!!!,mkuu pole sana ndo wanawake hao wana pasua kichwa usiruhusu kuzozana nae kaa kimya ipe akili muda wa kupumzika kufanya tafakari usifanye maamuzi ukiwa kwenye hali ya hasira msije mka gawana majengo ya serikali (hospital na police) tuliza akili uzungumze na pande zote mbili kisha fanya maamuzi wew maana mapenz huwa haya shauriki watu wana weza sema mwache mdada uka ombwa msamah ukasema maisha yanaenda maamuz unayo wew
 
pole sana mkuu, na hii ndio maana watu husema " kuchungulia simu ya mpenzi wako, hakujawahi mwacha mtu salama" yaani hii ni kama vile ilipokuwa inasomwa ripoti ya makinikia na hatimaye kuwang'oa akina muongo
 
Ushauri huu nimeupenda na umenikumbusha mbali sana. Hakika ukifanya hivyo yeye ataumia maumivu yasiyoisha na hatokitenda tena
 
Mmmmh mtu kashachenjuliwa maboso, pole sana mkuu..!! Kuchapiwa inauma hatari, huyo kumuoa ni sawa na kuweka bomu la Korea Kaskazini ndani siku yoyote linakulipukia!!!
Hahahahahahahaaha
 
Huyo Dada bado unampenda sanaa semaa kinachokuuma ni mselaako kuparaza kituako lakin ingekuwa wambali au humjui sidhan Kama ingekuwa tabu japo Kama unae roho ngumu yakusamehe huyo Dada anaweza kuwa mwanamke mzuri mbelen sababu watu hubadilika.

Ingekuwa wewe ndo umemla shost ake afu akukamate na akwambie anakuacha usingekubali ungefanya namna umrudishe muanze upya kama unaakil.

Kweli kakosea pakubwa lakin mzee baba hujawahi kupiga shoo za njee au kwakuwa hujawah kamatwa? Chakufanya mjulishe kuwa umejua usikilize muitikio wake . manunda yatakuletea mdomo na ujeuri Kama hajafanya kitu vile na wanao kushauri umpige chini hawajui umempataje na anakupaga nini ?

Kuna wadada mtaani kwetu wameliwaga karibia nakila mtu kipind cha nyuma sahiv wamenyuti na familia zao tuu kwa heshima.

Kama utamudu kumuacha itakuwa sawa na kumweleza na kumsamehe Kama atakuonyesha ushirikiano pia itakuwa sawa pia. Ni wewe mwenyewe kuangalia unaeza mpiga chini kumbe badae ndo angekuwa mkeo mkaja Fanya maisha fresh na unaweza piaa msamehe badae ukajuta. Jipe muda tuliza akili na roho usiamue ukiwa umekatia henken mayai maana unaeza Fanya kituko ikawa shida kwako na familia yako na kwenda jelaa skuhiz ni pua na mdomo sio mbali kabisa.
 
Kama nimpenda kuliwa hataa uwe unaingiza hataa miguu atatafuta wakumuingiza skio nitabia tuu ya muhusika
 
Ukutee skuzote mtandao pendwa kwake ilikuwa kawaidaa basii we unaonaa umekomesha kumbe umejichumia dhambi ambazo hataa shwtwan anakukataa.
 
 
Inakera....inauma sana aisee..shes not ur wife..piga chini mapemaaa
 
Ushauri mzuri maneno kuntu I hope atafanyia kazi
 
Ushauri huu nimeupenda na umenikumbusha mbali sana. Hakika ukifanya hivyo yeye ataumia maumivu yasiyoisha na hatokitenda tena
Huu ushauri si mzuri kwa mtu unayekaa nae nyumba moja, kwa sababu kwenye akili yake atajua lazima utamuacha tu hivyo kwa kukukomoa anaweza hata kukuwekea sumu kwenye chakula au hata kukufanyia kitu kibaya chochote kwa kuwa hupo nae ndani. Ushauri mzuri mwambie asubuhi na kama ni mtu wa mkoa mkatie tiketi kabisa ili umsimamie siku hiyo hiyo hawe ameama na kila kitu chake akuachie nyumba yako.
 
Mimi nimeamua kumtafuta mwenye sura ngumu ngumu na mlokole labda ndo sitapata maumivu ya dizaini tena,mkuu najua maumivu unayoyapata.Mimi nilimaliza siku mbili bila kupata usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…