Maumivu ya moyo....!!!

Pole saana mkuu,
Nakumbuka iliwahi kunitokea miaka ile ya 40th nkiwa na umri wa miaka 25
 
Pole kwa yaliyo kusibu
Usiwe unaenda sehemu kama hizo katika simu utajipa presha tu,kamanda
 
Kaka pole sana kwa yaliyokufika ninajua machungu na huzuni ndio yaliyotanda katika moyo wako na akili kukosa jibu mpaka mda huu.
Ninachokushauri huyo mdada alikua hamupendani bali ww ulikua unampenda na yy anaishi na wewe tu kwahivyo chakufanya achana nae na na tafuta mwengne
 
Yesu na maria ,duuh pole sana kaka ,ningekuwa mim ningekuw hapa karanga na jinsi ninavyomilik mguu wa kuku Leo dunia ingekuwa inaomboleza, halaf siku zote watu waaminifu kwenye mapenz ndo tunatendewa hivyo, Fanya maamuz magum ,mwache aende,,,
 
Mkuu jela pabaya muepuke shetani, unaweza sana tu kuishi bila yeye maana ulikuwa na maisha kabla yake. Chukulia hii kama mtihani na daraja la kukukomaza tu maishani. Ukubwa sio kukimbiza miaka na kuvunjia viwembe kidevuni tu, bali kuweza kukabili hali kama hizi hapa kwa uthabiti. Likuepukalo lina kheri nawe, mshukuru Mungu kakuonesha SHETANI ambaye wewe ulipanga kabisa kumfanya sehemu ya maisha yako na hakika ungejuta kuliko ulivyoumia na hili. Songa mbele huku ukiamini wewe ni imara sasa kuliko jana, wa kwako alishapangwa na Mungu just let this go.
 
Pole sana.. mwache mwanamke na mwambie kila kitu ili ajue usalit wake..lkn pia mchane jamaa ako
 
Mkuu unajiuliza nn akat sio mkeo wa ndoa ???? ....andaa mgegedo mmoja wa mwisho wa kibabe tena cheza kama wanao ekti pono Yale manigga then piga chini
 
'Good girls are found in every corner of the earth'....
"But unfortunately the earth is round"[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Dah sms tu mimi nimepagawa sasa jee huyo aliyefanya uuuwi mimi pia nimesikia wivu huyo niwakuloga afe

Pole sana mkuu
Hapana usilipe ubaya kwa ubaya muendelezo wake ni mbaya. Mungu anajua kwanini alimwonyesha arekebishe hiyo simu ndio akaona sms. Funzo kubwa sana hili
 
Duuu tumia busara ya hali ya juu ,kuwa mvumilivu sana moyon mwako ,ila mwonyeshe SMS zake na mwambie afungashe zake bila kumpiga wala nn maana ,ukisema umpige utaua ,kwa mm ninavyo jua hasira za maumivu ya kugongewa mke duuu inauma sana wakuuu wangu, nimejisikia kama vile mm nimefanyiwa hivyo ,don't thrust a women .. Milele
 
Kama hujawahi chepuka mwache tu hamna namna, hata ivo ukome kupekua simu ya mpenzi/mke wako utakuja kufa bure uwape hasara wazazi wako
 
Nimeipenda hii mbinu yan imekaa kisaikolojia zaid
 
Mmmh ila na CE wadada tunachokitafta tutakipata wallah...anyway jikaze move on utasaau tuuuu jikite me kujijenga kiuchumi ucwe mlev fnya mazoez uckae pekeako omba Mungu an ukipte kipnd HK kigum salama...
 
Hawa wanawake wa kizazi hiki siyo wa kuwaamini. Achana nae fanya yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…