Maumivu ya mapenzi

Eti unakuta bebi wako naye ana bebi wake! Halafu wanapendana😂
 
Kuna siku utanielewa mtani.. taratibu tuu unielewe.. hata mm nilikua sipendi hizi mambo kama wewe ila nilipochunguza nikagundua kuna some help
Nilianza ulozi nilipopigwa kibuti halafu akapendwa mganga😂
 
Kuna siku utanielewa mtani.. taratibu tuu unielewe.. hata mm nilikua sipendi hizi mambo kama wewe ila nilipochunguza nikagundua kuna some help
Hakuna chochote ni maujinga tu , hakuna siku nitaelewa, siku nilipo acha kujikita na hizi mambo nikayakabili maisha kiuhalisia ,ndio nilipata matokea na sio nyota sijui maombi
 
Tatizo nyoyo zetu jinga sana...kila anaekuja zinamwamini sana...zinatubebesha mzigo na majukumu...kupenda tusipopendwa....nyoyo zetu ni jinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…