Maumivu ya mapenzi

Wazee wetu walichukuana na wamedumu , ndoa ulaya America kila siku zinavunjika , hakuna cha nyota wala kitj gani ,ni mifumo ya maisha tu imebadilika na hakuna mtu yupo tayri kuvumilia ujinga wa mwingine
Asikudanganye mtu bora ndoa za kuachana kuliko ndoa za wazee wetu, walikua wanachapiana vibaya mno… unakuta familia ina watoto 9 ila wawili ni wa nje na hio siri anajua mama na baba. Kitakachostua ni ubaguzi wa chinchin…. Wanajipoza kwa msemo ‘kitanda hakizai haramu
 
waliitumia Sana hiyo kanuni
 
Tuliachana baada ya mahusiano ya miaka 07. In my early 20's and her as a teeneger we found each other. Alinivumilia sana coz sikua na mwelekeo wowote wa mafanikio, I had a real hustle bt matokeo yalikua bila bila. Akaona siwez mfikisha nchi ya ahadi, nikaachika kwa maumivu makali sana ya fumanizi, kisha kutoa mimba alopata kwangu baada ya kuona ni mkosi kuzaa na mtu asiye na nyota ya mafanikio, Nikamuachia kila kitu nilichopata kwa hustle za hapa na pale na kuanza maisha mapya na godoro tu. Mawasiliano pekee after divorce ni kuniomba nirudishe lile godoro. Mungu si "Tlaatlaa" after less than 6 months nikaheshimika mjini. The rest is history.
 
Unatoka nnje ya hayo mambo yako ya nyota, hakuna cha nyota ,sijui punda ,mbuzi ,beberu ,nguruwe itakayo kufanya ufanikiwe au mahusiano kudumu
 
Don't try this with Gen Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…