Maumivu ya mapenzi

Ah memories kwa kweli. Bad and good.
Kuna wengine walikua kama gundi na wengine una waza mlifikaje hapa kwanza. Masomo ni mengi maishani na Mara nyingi hatukai kutafakari mafunzo hayo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
makaveli10 nakuja kufuata gauni langu.
Najua udhaifu wako,
Kanuni ni ile ile ukija kimekuramba...
Unadakwa juu juu, unapigwa denda, unaegemezwa ukutani, mikono juu mwendo wa mateka, unasachiwa kila angle, unapachikwa na DUDUKILA...
😂🤣

Kesi imeisha,
Mie nawe kuachana, ni mpaka miili yetu iachane na roho kwanza
 
Sasa ole wako nisilikute gauni langu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…