Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
Mi shida angu nikukusalimu tu
Mi shida angu nikukusalimu tu
Naombeni ushauri wa namna ya kutumia K yangu vzrHata huyo akijua kuitumia vizuri k yake mtoa post mbona utamganda balaa
hahahaha ewaaaa nami nimefurahiKisura mimi nakushukuru![]()
Mungu akulindehahahaha ewaaaa nami nimefurahi
Wacha nilale sasa, kesho mungu akijalia
Mkuu hebu fafanualaw of elasticity inatumika hapo, kitu kikishafikia plastic deformation hakiwezi tena kurudi. Matumizi yasiyofaa ya K hufikia huko..
Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje
Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe





Tatizo ndo hilo la kuwa kwenye mahusiano na watu wengi kabla ya ndoa ungekuwa na huyo huyo mmoja usingeweza kujua kwamba yake ni kubwa au ndogo maana unakuwa hauzijui za wengine zikoje
Shida inakuja ukishaanza kuonja na za wengine lazima utajua tu kuzitofautisha na utakuwa umeshajua za aina ipi unazitaka na za aina ipi hauzitaki mkiambiwa muache umalaya hamtaki basi endeleeni kushindana kujua vibamia na mikuyenge sijui mibwawa na vimnato mnajua wenyewe
Njia tulizowekewa na Mungu zilikuwa bora sana. Kwa kuwa tumeamua kufuata njia zetu ndio maana tunapatwa na shida sana.
Nimeleta hapa huu uzi kwa kuwa,Ki-mtazamo jambo hili limebeba maana kubwa Kwenye kesho yangu mahusiano.
Nimekuwa na kiu kubwa ya uhitaji wa mchumba kwa lengo la kuwa mke.. Mungu sii juma wala James, nimepata tena wa kabila langu na mwenye sifa nyingine nzuri, tuliridhiana na Kuanza mahusiano tulikaa miezi miwili bila kukutana,kabla yake nimewahi kuwa na mahusiano tofauti hivyo ninaexpirience nzuri juu size ya maumbile ya kike. Ni hivi juzi tuu ilitokea akaja kwangu na nikatembea nae tangu tufahamiane,Nilipokuwa nafanya nae niligundua kuwa maumbile yake ni makubwa kiasi kwamba mashine Ilikuwa kama ipo hewani Mara nyingi, na mwajua vema kinachotokea, ni kuchelewa kumwaga, nilitumia zaidi ya lisaa limoja ndo nikamwaga.
Tangu juzi nimebaki nang'aa tuu macho na nisijue kipi kitakachojiri kwani kweli nilimkubali sana huyu mdada na naona kabisa moyo umeanza kusita, hadi najiskia vibaya...
Mawazo yenu yanaweza kunipa mwanga mwingine aidha nikasonga, au vinginevyo ilimradi Nipate mwanga ili nijue mustakabali wa mahusiano haya mapya yenye nia njema kabisa ya kuwa wanandoa
Hofu yangu ni moja tuu, niliwahi kusema sitaki kuoa na Kisha siku itokee nimtese, au kumuumiza kihisia mtoto wa watu.. Sasa nimeona kitu kitakachopelekea shida nisiyoitaka mbeleni kimejitokeza. Nifanyeje...
Na je hilo tatizo Lina tiba au sulihisho lake ili kama Kuna tiba nihangaike nae nimtibu.
Naomba mawazo yenu
Wanadamu tumekengeuka
Kabisa ndugu yangu ila ndo hivyo kwa dunia ya sasa tukisema haya maneno tunaonekana washamba na tunaambiwa eti Mungu amesharuhusu uzinzi na uasherati tena ndo ushangae sasa wanakwambia eti ameruhusu kwa wanaume tu kwa sababu wana tamaa ila kwa wanawake hajaruhusu sasa nabaki najiuliza hao wanaume wanaoambiwa wameruhusiwa wanafanya hayo na kina nani sasa kama wanawake hawajaruhusiwa?Mungu alikuwa na makusudi sana kusema uzinzi na uasherati ni dhambi.
Na ilitakiwa tuowane wote tukiwa bikira. Ndoa zingedumu sana maana ingekuwa hakuna mambo ya sijui unawahi kufika, oooh maumbile makubwa. Ukisema makubwa madogo umeyaona wapi?

Imefika hatua uzinifu tunachukulia jambo la kawaida sana.Kabisa ndugu yangu ila ndo hivyo kwa dunia ya sasa tukisema haya maneno tunaonekana washamba na tunaambiwa eti Mungu amesharuhusu uzinzi na uasherati tena ndo ushangae sasa wanakwambia eti ameruhusu kwa wanaume tu kwa sababu wana tamaa ila kwa wanawake hajaruhusu sasa nabaki najiuliza hao wanaume wanaoambiwa wameruhusiwa wanafanya hayo na kina nani sasa kama wanawake hawajaruhusiwa?
Yaani mtu anatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu nawaza tu sijui kama hayo ndo majibu watakayoenda kumpa Mungu siku ya hukumu kuwa eti "Mungu tulijua umeruhusu" kama mtu akijua ana dhambi ni bora akiri na atubu atasamehewa na siyo kutafuta sababu za kutetea na kuhalalisha hizo dhambi maana atahukumiwa
Sana yaani daah natamani binadamu wote wangelijua hiliImefika hatua uzinifu tunachukulia jambo la kawaida sana.
Ila madhara yake ni makubwa, kuanzia kijamii, kiuchumi na kiafya.