Duuh kumbe



swali lingine, kwani haiwezi kutokea mtu akawa na maumbile makubwa naturally
Inaweza kutokea kwa 100% na ndio uumbaji wa Mungu huo. Lakini sisi wanaume wa sasa tunaita bwawa na kudhani labda mtu ametumika sana lakini sio kweli, mwanamke ambae ana uke mkubwa sidhani kama sababu ni kuwa eti alitumika na size nyingi, bali mara nyingi huchangiwa na maumbile yake ya asili
Kama ambavyo kuna wanaume mungu amewaumba na nyuume(sio lugha rasmi) kubwa kubwa zingine ndoto, baasi pia wanawake walioubwa na nyuke kubwa kubwa na nyingine ndogo ndogo.
Kwa hyo mwanamke ambae ana asili ya uke mkubwa akikutana na mwanaume mwenye asili ya uuume mdogohapo ndo zinatokea sintofahamu fahamu.
Lakini nilipata kusikia kwamba wazee wa zamani walikuwa na elimu ya kujua mwanamke ana size gani ya uke, na mwanaume ana size gani ya uume ili kama wataweza kuwa katika kukidhiana na kutoshana, ila siku hizi watu hamna.
Wapo wanawake wanazaliwaa naturally na maumbile mapana ya uke, kinyume na wanavyodhani watu kwamba eti Mungu kaumba wanawake wote na size moja tu YA DIAMETER zao, hapana. Kama kuna wanaume wenye maumbile tofaimuti basi pia kuna wanawake wenye maumbile tofauti.
Ndo mana huwa nakosa majawabu na napigwa na butwaa ninapoona watu wanalaumu na kudai wanawake fulani au wachumba zao wana maumbile makubwa makubwa.
Lakini pia inategemea na hali ya mwanamke, pia mwanaume kupiga sana punyeto kunaweza kumfanya ahisi anaogelea kwa sababu ngozi imekuwa sugu, hapati ule msuguano nalo hili tatizo sana..