qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha Radio one Stereo/ITV ameacha kazi.
Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho kinachomilikiwa na IPP kwa muda wa miaka 14, amedai anakwenda kufanya shudhuli zake binafsi akidai kuwa, hali ya maisha imepanda kwa kiasi kubwa sana na mahitaji ya kimaisha yameongezeka gharama, hivyo inanilazimu kutafuta njia mbadala ya kujiingizia kipato kikubwa zaidi
Kumbukumbu zangu
Mwaka 2005 nilisoma kwenye gazeti moja hivi (sikumbuki) alisema anampango wa kugombea ubunge ifikapo 2015.
Sijui kama bado ana nia hiyo iliyomlazimu aache kazi au kapata shavu kwingine.
ALL IN ALL: Kila la kheri Maulid Kitenge a.k.a Baba Shadya tutakumiss kwenye kioo.
----------------------