Mi nilimsikiliza kwa makini Mtulia kwa nini aliondoka CUF. Alisema akizungumza (akijadiliana jambo) na mwenyekiti Lipumba, Katibu mkuu Seif ananuna. Vivyo hivyo akizungumza (akijadiliana) na katibu mkuu Seif, mwenyekiti Lipumba ananuna. Kwa maana hiyo jahazi la CUF linazama. Hivyo akuwa na namna kama mtu muungwana ila kutafuta meli salama ili akawawakilishe wanakinondoni vizuri. Naona hoja yake ina mashiko kuliko ya Mwalimu anaetoka visiwani, tena ambae akuona hata haja ya kushiriki kura ya maoni kama ilivyo andaliwa na wana CDM kinondoni. Mbowe amezoea, alimleta Lowasa na sasa kamleta Mwalimu. amezoea.