Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu

Mkiti

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
787
Likes
479
Points
80

Mkiti

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
787 479 80
Mi nilimsikiliza kwa makini Mtulia kwa nini aliondoka CUF. Alisema akizungumza (akijadiliana jambo) na mwenyekiti Lipumba, Katibu mkuu Seif ananuna. Vivyo hivyo akizungumza (akijadiliana) na katibu mkuu Seif, mwenyekiti Lipumba ananuna. Kwa maana hiyo jahazi la CUF linazama. Hivyo akuwa na namna kama mtu muungwana ila kutafuta meli salama ili akawawakilishe wanakinondoni vizuri. Naona hoja yake ina mashiko kuliko ya Mwalimu anaetoka visiwani, tena ambae akuona hata haja ya kushiriki kura ya maoni kama ilivyo andaliwa na wana CDM kinondoni. Mbowe amezoea, alimleta Lowasa na sasa kamleta Mwalimu. amezoea.
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,705
Likes
1,141
Points
280

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,705 1,141 280
Afadhali kuchagua wa kuja kuliko malaya/changudoa wa kujiuza!! Hatuwezi kuchagua malaya asiye na aibu kama mtulia! Muulize huyo Changu Mtulia atatulia tukimwamini? Tunajua lakini "kunguru hafugiki"
Hivi hapa ni mchango au matusi? Anyway nyie wafuasi wa chadema mna mnao sana humu if hata mkitusi mnaangaliwa tu.
Ngoja ninyamaze
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
2,413
Likes
2,254
Points
280

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2017
2,413 2,254 280
Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi?
Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi.
Mwenyezi Mungu akamruhusu nabii Mussa kutumia fimbo kupasua maji ili wajiokoe na majeshi ya farao.
Ndugu zangu wana kinondoni swali langu kwenu ni ili! Kama Mwenyezi Mungu alimuuliza Mussa kitu alichonacho mkononi ili aweze kumpa msaada je kwetu itakuwa busara kumpigia kura mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura?
Salum Mwalimu mgombea wa Freeman Mbowe kinondoni make siyo mgombea wa chadema kwani Chadema mgombea wao alikuwa Mh Kimbita diwani wa kata ya Hananasifu.
Huyo mgombea wa Freeman Mbowe ndugu Salum Mwalimu hana kadi ya kupigia kura katika Jimbo la kinondoni hivi kwanini ukahangaike kumchagua mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujichagua?
Je unawezaje kumsaidia mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?
Swala la pili Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa chadema kule Zanzibar kwa mantiki hiyo anaishi Zanzibar je kwanini ndugu Freeman Mbowe atuletee mtu anayeishi Zanzibar?
Maana yake ni kwamba tukishamchagua atarudi zake Zanzibar hatutakuwa naye je shughuli za Jimbo atafanya nani?
Wana kinondoni tuangalie hata watu wanaomfanyia kampeni mgombea wa kivuli wa chadema hata wao wasivyo wapiga kura wa kinondoni.
Salum Mwalimu ni mpiga kura wa Mkwajuni Zanzibar.
Freeman Mbowe ni mpiga kura wa Hai Kilimanjaro.
Edward Lowassa ni mpiga kura wa Monduli kule Arusha.
Frederick Sumaye ni mpiga kura wa Anang mkoani Manyara
Gobbles Lema ni mpiga kura wa Arusha Mjini.
Hezekiah Wenje ni mpiga kura wa nyamagana mwanza.
Wegesa Suguta Heche a.k.a John Heche ni mpiga kura wa Tarime Mara.
Saed Kubenea ni mpiga kura wa Ubungo.
John Mnyika ni mpiga kura wa Kibamba.
Halima Mdee ni mpiga kura wa Kawe. N. K
Katika kundi hili hayupo mpiga kura hata Moja wa kinondoni akiwemo mgombea mwenyewe.
Tuje kwa Maulid Mtulia na timu yake ya kampeni.
Maulid Mtulia ni mpiga kura wa Hali maua kijitonyama kinondoni.
Idi Azan ni mpiga kura wa Magomeni Kinondoni.
Abasi Tarimba ni mpiga kura wa Hananasifu kinondoni.
Tamimu ni mpiga kura wa tandale kinondoni.
Omar Kimbau ni mpiga kura wa makumbusho kinondoni walau timu ya Maulid Mtulia ina wapiga kura wa Jimbo la kinondoni wanaowafahamu adha na machungu yetu wana kinondoni.
Mtulia ni mpiga kura wa kinondoni anayo kadi anaishi na amekulia kinondoni na watoto wake na mkewe wanaishi Jimbo la kinondoni ni mwenzetu shida yenu shida yake hata usiku wa manane ukimtafuta unampata live sasa niwaulize wana kinondoni wenzangu siye watoto wa Mjini mkimchagua Salum Mwalimu wa Freeman Mbowe ukiwa na shida na mbunge hata mchana mtavuka maji mkamfuate Zanzibar?
Nasikia ana watoto Muulizeni Kama yeye mkazi wa kinondoni watoto wake wanaishi kata au mtaa upi kinondoni?
Wana kinondoni siye watoto wa Mjini tusifanywe hayawani na Mbowe na timu yake.
Hivi kwani Chadema hawana mwanachama Mkazi wa kinondoni mpk watuletee mkazi kikwajuni unguja Zanzibar kuja kugombea nafasi ya ubunge Kinondoni?
Shida ya Salum Mwalimu siyo kuwaletea maendeleo bali kwenda bungeni kutafuta mshahara wa ubunge baada ya ukata mkali unaoikabili chadema kiasi cha kuwaachisha kazi karibu robo tatu ya wajumbe wa Secretariat ya chama icho.
Ewe Mwana kinondoni ifikapo tarehe 17/02/2018 tuondoke asbuhi na mapema na kadi zetu za kupigia kura tuwahi vituoni.
Kura zetu zooooooote tupige kwa kijana wetu Mzalendo mwenzetu wa Jimbo la kinondoni siyo mwingine ni comred Maulid Mtulia
Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
Frey Cosseny (Mnec wa Akiba)
aab123c480e59c26070cadebd9a4c8e9.jpg
Kama umetumwa aliyekutuma na.mjinga kama wewe! Yani mtu tumchague wenyewe kisha ajiuzulu mwenyewe kuunga mkono frastrations za raisi. Kisha aje tumchague tena sababu tu kazaliwa kinondoni? Badilika wewe lakini kabla hujabadilika twambie idadi ya wabunge wanaoishi kwenye majimbo yao ili tujue kwamba ukaazi ni.issue. January makamba ni mbunge wa wapi? Anaishi wapi? Huyo kimbao omari angecjaguliwa kuwa mbunge wa mafia angekaa kule leo? Achani kutudharau kiasi hiki
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
2,413
Likes
2,254
Points
280

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2017
2,413 2,254 280
Ndiyo namfaha ni mpiga kura wa Zanzibar. Je Salum Mwalimu ni mpiga kura wa kituo ipi?
Mrema alishawahi kuchaguliwa mbunge wa temeke ndio? Alikuwa mpiga kura wa kituo gani hko temeke? Aliwakilisha au hakiwakilisha kwakuwa hajazaliwa temeke.twambie idadi ya wabunge waishio majimboni mwao
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,705
Likes
1,141
Points
280

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,705 1,141 280
Kama umetumwa aliyekutuma na.mjinga kama wewe! Yani mtu tumchague wenyewe kisha ajiuzulu mwenyewe kuunga mkono frastrations za raisi. Kisha aje tumchague tena sababu tu kazaliwa kinondoni? Badilika wewe lakini kabla hujabadilika twambie idadi ya wabunge wanaoishi kwenye majimbo yao ili tujue kwamba ukaazi ni.issue. January makamba ni mbunge wa wapi? Anaishi wapi? Huyo kimbao omari angecjaguliwa kuwa mbunge wa mafia angekaa kule leo? Achani kutudharau kiasi hiki
Ndugu yangu Karai la Bavicha hoja hapa ni kwamba Salum Mwalimu siyo mpiga kura wa kinondoni na pia siyo mkazi wa kinondoni hao unawataja ni wapiga kura ktk majimbo yao na wanajipigia kura zao je huyu Salum Mwalimu atapiga kura kituo gani?
 
mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
10,961
Likes
6,802
Points
280

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
10,961 6,802 280
Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
Msaliti huyoooooooooo. Fedha iliyotumiwa kumrudisha bungeni ingelitosha kutujengea shule nyingine Kinondoni na kuweka vifaa vyote ili tuweze kuwapeleka wanetu wanaozaliwa kila kukicha. Kinondoni umeuliza darasa 1 lina wanafunzi wangapi??
Tafuteni kwanza mbinu nyingine ya kuwateka mioyo wananchi ndio mje na ujinga huu wa kuwarubuni wabunge. CCM, jikiteni kwa wananchi hakuna tendo linalotendeka haliachi kukumbukwa. Watendeeni wananchi watawakumbuka.
 
mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,326
Likes
1,353
Points
280

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,326 1,353 280
Hivi hapa ni mchango au matusi? Anyway nyie wafuasi wa chadema mna mnao sana humu if hata mkitusi mnaangaliwa tu.
Ngoja ninyamaze
Hakuna siri! Ni kwamba Mtulia alinunuliwa au alijiuza! kuna tusi hapo!? Nipe jina analoitwa binadamu anayejiuza! Nipe sifa zake!!!.
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
1,705
Likes
1,141
Points
280

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
1,705 1,141 280
Msaliti huyoooooooooo. Fedha iliyotumiwa kumrudisha bungeni ingelitosha kutujengea shule nyingine Kinondoni na kuweka vifaa vyote ili tuweze kuwapeleka wanetu wanaozaliwa kila kukicha. Kinondoni umeuliza darasa 1 lina wanafunzi wangapi??
Tafuteni kwanza mbinu nyingine ya kuwateka mioyo wananchi ndio mje na ujinga huu wa kuwarubuni wabunge. CCM, jikiteni kwa wananchi hakuna tendo linalotendeka haliachi kukumbukwa. Watendeeni wananchi watawakumbuka.
Hivi kule kwa Lazaro Nyalandu ilikuwa je.
Kama issue ni gharama ya uchaguzi mi nadhani 2020 hatuna haja kushiriki uchaguzi Mkuu.
 
MTK

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Messages
7,383
Likes
3,209
Points
280

MTK

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2012
7,383 3,209 280
Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi?
Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi.
Mwenyezi Mungu akamruhusu nabii Mussa kutumia fimbo kupasua maji ili wajiokoe na majeshi ya farao.
Ndugu zangu wana kinondoni swali langu kwenu ni ili! Kama Mwenyezi Mungu alimuuliza Mussa kitu alichonacho mkononi ili aweze kumpa msaada je kwetu itakuwa busara kumpigia kura mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura?
Salum Mwalimu mgombea wa Freeman Mbowe kinondoni make siyo mgombea wa chadema kwani Chadema mgombea wao alikuwa Mh Kimbita diwani wa kata ya Hananasifu.
Huyo mgombea wa Freeman Mbowe ndugu Salum Mwalimu hana kadi ya kupigia kura katika Jimbo la kinondoni hivi kwanini ukahangaike kumchagua mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujichagua?
Je unawezaje kumsaidia mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?
Swala la pili Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa chadema kule Zanzibar kwa mantiki hiyo anaishi Zanzibar je kwanini ndugu Freeman Mbowe atuletee mtu anayeishi Zanzibar?
Maana yake ni kwamba tukishamchagua atarudi zake Zanzibar hatutakuwa naye je shughuli za Jimbo atafanya nani?
Wana kinondoni tuangalie hata watu wanaomfanyia kampeni mgombea wa kivuli wa chadema hata wao wasivyo wapiga kura wa kinondoni.
Salum Mwalimu ni mpiga kura wa Mkwajuni Zanzibar.
Freeman Mbowe ni mpiga kura wa Hai Kilimanjaro.
Edward Lowassa ni mpiga kura wa Monduli kule Arusha.
Frederick Sumaye ni mpiga kura wa Anang mkoani Manyara
Gobbles Lema ni mpiga kura wa Arusha Mjini.
Hezekiah Wenje ni mpiga kura wa nyamagana mwanza.
Wegesa Suguta Heche a.k.a John Heche ni mpiga kura wa Tarime Mara.
Saed Kubenea ni mpiga kura wa Ubungo.
John Mnyika ni mpiga kura wa Kibamba.
Halima Mdee ni mpiga kura wa Kawe. N. K
Katika kundi hili hayupo mpiga kura hata Moja wa kinondoni akiwemo mgombea mwenyewe.
Tuje kwa Maulid Mtulia na timu yake ya kampeni.
Maulid Mtulia ni mpiga kura wa Hali maua kijitonyama kinondoni.
Idi Azan ni mpiga kura wa Magomeni Kinondoni.
Abasi Tarimba ni mpiga kura wa Hananasifu kinondoni.
Tamimu ni mpiga kura wa tandale kinondoni.
Omar Kimbau ni mpiga kura wa makumbusho kinondoni walau timu ya Maulid Mtulia ina wapiga kura wa Jimbo la kinondoni wanaowafahamu adha na machungu yetu wana kinondoni.
Mtulia ni mpiga kura wa kinondoni anayo kadi anaishi na amekulia kinondoni na watoto wake na mkewe wanaishi Jimbo la kinondoni ni mwenzetu shida yenu shida yake hata usiku wa manane ukimtafuta unampata live sasa niwaulize wana kinondoni wenzangu siye watoto wa Mjini mkimchagua Salum Mwalimu wa Freeman Mbowe ukiwa na shida na mbunge hata mchana mtavuka maji mkamfuate Zanzibar?
Nasikia ana watoto Muulizeni Kama yeye mkazi wa kinondoni watoto wake wanaishi kata au mtaa upi kinondoni?
Wana kinondoni siye watoto wa Mjini tusifanywe hayawani na Mbowe na timu yake.
Hivi kwani Chadema hawana mwanachama Mkazi wa kinondoni mpk watuletee mkazi kikwajuni unguja Zanzibar kuja kugombea nafasi ya ubunge Kinondoni?
Shida ya Salum Mwalimu siyo kuwaletea maendeleo bali kwenda bungeni kutafuta mshahara wa ubunge baada ya ukata mkali unaoikabili chadema kiasi cha kuwaachisha kazi karibu robo tatu ya wajumbe wa Secretariat ya chama icho.
Ewe Mwana kinondoni ifikapo tarehe 17/02/2018 tuondoke asbuhi na mapema na kadi zetu za kupigia kura tuwahi vituoni.
Kura zetu zooooooote tupige kwa kijana wetu Mzalendo mwenzetu wa Jimbo la kinondoni siyo mwingine ni comred Maulid Mtulia
Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
Frey Cosseny (Mnec wa Akiba)
aab123c480e59c26070cadebd9a4c8e9.jpg

Usilolijua ni kama usiku wa giza kwako dogo, kaa ulivyo, ukikua utaelewa
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Messages
2,413
Likes
2,254
Points
280

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2017
2,413 2,254 280
Ndugu yangu Karai la Bavicha hoja hapa ni kwamba Salum Mwalimu siyo mpiga kura wa kinondoni na pia siyo mkazi wa kinondoni hao unawataja ni wapiga kura ktk majimbo yao na wanajipigia kura zao je huyu Salum Mwalimu atapiga kura kituo gani?
Wewe choo cha uvccm mm sio karai la bavicha ni normal ctzen hayo unayotaja yalishanipita hata kwa umri wangu mm sio kijana.choo cha lumumba. Nikuulize asiyekuwa mpiga kura mgombea salumu mwalimu na aliyejiuzulu kwa hiari yake kuunga mkono frastrations kisha akaomba tena kugombea nafasi ile ile mahala pale pale. Na kuingizia serikali hasara ya bl 1 .ukkambiwa ufanye cost benfit analysis we unadhani kipi bora.mm co bavicha
 
Forum statistics

Threads 1,191,564
Members 451,695
Posts 27,713,671