Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Frey Cosseny, Jan 30, 2018.

 1. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi?
  Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi.
  Mwenyezi Mungu akamruhusu nabii Mussa kutumia fimbo kupasua maji ili wajiokoe na majeshi ya farao.
  Ndugu zangu wana kinondoni swali langu kwenu ni ili! Kama Mwenyezi Mungu alimuuliza Mussa kitu alichonacho mkononi ili aweze kumpa msaada je kwetu itakuwa busara kumpigia kura mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura?
  Salum Mwalimu mgombea wa Freeman Mbowe kinondoni make siyo mgombea wa chadema kwani Chadema mgombea wao alikuwa Mh Kimbita diwani wa kata ya Hananasifu.
  Huyo mgombea wa Freeman Mbowe ndugu Salum Mwalimu hana kadi ya kupigia kura katika Jimbo la kinondoni hivi kwanini ukahangaike kumchagua mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujichagua?
  Je unawezaje kumsaidia mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?
  Swala la pili Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa chadema kule Zanzibar kwa mantiki hiyo anaishi Zanzibar je kwanini ndugu Freeman Mbowe atuletee mtu anayeishi Zanzibar?
  Maana yake ni kwamba tukishamchagua atarudi zake Zanzibar hatutakuwa naye je shughuli za Jimbo atafanya nani?
  Wana kinondoni tuangalie hata watu wanaomfanyia kampeni mgombea wa kivuli wa chadema hata wao wasivyo wapiga kura wa kinondoni.
  Salum Mwalimu ni mpiga kura wa Mkwajuni Zanzibar.
  Freeman Mbowe ni mpiga kura wa Hai Kilimanjaro.
  Edward Lowassa ni mpiga kura wa Monduli kule Arusha.
  Frederick Sumaye ni mpiga kura wa Anang mkoani Manyara
  Gobbles Lema ni mpiga kura wa Arusha Mjini.
  Hezekiah Wenje ni mpiga kura wa nyamagana mwanza.
  Wegesa Suguta Heche a.k.a John Heche ni mpiga kura wa Tarime Mara.
  Saed Kubenea ni mpiga kura wa Ubungo.
  John Mnyika ni mpiga kura wa Kibamba.
  Halima Mdee ni mpiga kura wa Kawe. N. K
  Katika kundi hili hayupo mpiga kura hata Moja wa kinondoni akiwemo mgombea mwenyewe.
  Tuje kwa Maulid Mtulia na timu yake ya kampeni.
  Maulid Mtulia ni mpiga kura wa Hali maua kijitonyama kinondoni.
  Idi Azan ni mpiga kura wa Magomeni Kinondoni.
  Abasi Tarimba ni mpiga kura wa Hananasifu kinondoni.
  Tamimu ni mpiga kura wa tandale kinondoni.
  Omar Kimbau ni mpiga kura wa makumbusho kinondoni walau timu ya Maulid Mtulia ina wapiga kura wa Jimbo la kinondoni wanaowafahamu adha na machungu yetu wana kinondoni.
  Mtulia ni mpiga kura wa kinondoni anayo kadi anaishi na amekulia kinondoni na watoto wake na mkewe wanaishi Jimbo la kinondoni ni mwenzetu shida yenu shida yake hata usiku wa manane ukimtafuta unampata live sasa niwaulize wana kinondoni wenzangu siye watoto wa Mjini mkimchagua Salum Mwalimu wa Freeman Mbowe ukiwa na shida na mbunge hata mchana mtavuka maji mkamfuate Zanzibar?
  Nasikia ana watoto Muulizeni Kama yeye mkazi wa kinondoni watoto wake wanaishi kata au mtaa upi kinondoni?
  Wana kinondoni siye watoto wa Mjini tusifanywe hayawani na Mbowe na timu yake.
  Hivi kwani Chadema hawana mwanachama Mkazi wa kinondoni mpk watuletee mkazi kikwajuni unguja Zanzibar kuja kugombea nafasi ya ubunge Kinondoni?
  Shida ya Salum Mwalimu siyo kuwaletea maendeleo bali kwenda bungeni kutafuta mshahara wa ubunge baada ya ukata mkali unaoikabili chadema kiasi cha kuwaachisha kazi karibu robo tatu ya wajumbe wa Secretariat ya chama icho.
  Ewe Mwana kinondoni ifikapo tarehe 17/02/2018 tuondoke asbuhi na mapema na kadi zetu za kupigia kura tuwahi vituoni.
  Kura zetu zooooooote tupige kwa kijana wetu Mzalendo mwenzetu wa Jimbo la kinondoni siyo mwingine ni comred Maulid Mtulia
  Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
  Frey Cosseny (Mnec wa Akiba)[​IMG]
   
 2. Tairi bovu

  Tairi bovu JF-Expert Member

  #41
  Jan 30, 2018
  Joined: Sep 28, 2017
  Messages: 1,936
  Likes Received: 1,757
  Trophy Points: 280
  Mmezoea kuwaita kila wenye mawazo mmbadala ni chadema kana kwamba kuwa chadema ni haramu.mmeishiwa hoja mmebaki kuwajaza watu hofu tuu.at "tukutane kazini" kazi gani mbona graduate wapo mitaani
   
 3. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #42
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wewe kinachokuuma ni Mtulia kujiuzulu unajuaje kabla Salum Mwalimu mtamchagua na kujiuzulu kwasababu nyie naona kuna biashara ya kuuza binadamu
   
 4. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #43
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Wana kinondoni Wanaohama ni wapinzani, hawaaminiki kupewa majimbo wanatuingiza kwenye gharama bora kuwapa ccm tu ndo wanaoaminika
   
 5. m

  mkuu Junior 2 JF-Expert Member

  #44
  Jan 30, 2018
  Joined: Nov 4, 2017
  Messages: 285
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Propoganda mfu
   
 6. Q-liner

  Q-liner Member

  #45
  Jan 30, 2018
  Joined: Nov 4, 2017
  Messages: 91
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 25
  Huwezi mchagua mbunge ambaye hajui majukumu yake...wabunge wasiojua majukumu yao walikuwa baada ya kupata uhuru ambao waliingia bungeni na walikuwa hawafahamu majukumu yao
   
 7. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #46
  Feb 4, 2018
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,752
  Likes Received: 3,830
  Trophy Points: 280
  \Hahahaha ni kweli mkuu yeye amemzidi mpaka Yesu aisee
   
 8. v

  viking JF-Expert Member

  #47
  Feb 12, 2018
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 1,073
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Another shithole
   
 9. ngopyolo

  ngopyolo JF-Expert Member

  #48
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 20, 2013
  Messages: 1,738
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Pumb za bibi yako mleta mada
   
 10. Retired

  Retired JF-Expert Member

  #49
  Feb 12, 2018
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 12,059
  Likes Received: 14,685
  Trophy Points: 280
  Mavi
   
 11. likandambwasada

  likandambwasada JF-Expert Member

  #50
  Feb 12, 2018
  Joined: May 27, 2015
  Messages: 5,483
  Likes Received: 5,809
  Trophy Points: 280
  SIFA YA KUWA MBUNGE NI URAIA WA TZ, MIAKA 18 AU ZAIDI

  SUALA LA UKAZ HALINA MAANA

  Ndiyo maana wabunge karibu wote wanaish dar
   
 12. bigmind

  bigmind JF-Expert Member

  #51
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 7,696
  Likes Received: 6,887
  Trophy Points: 280
  Mtulia malaya kisiasa..!
   
 13. Baba Mtakatifu

  Baba Mtakatifu JF-Expert Member

  #52
  Feb 12, 2018
  Joined: Dec 31, 2017
  Messages: 528
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 180
  Kweli mi sisiemu hakili zao ni mafinyofinyo.... Asa umeandika nini....
   
 14. Puyugu 01

  Puyugu 01 JF-Expert Member

  #53
  Feb 12, 2018
  Joined: Feb 3, 2018
  Messages: 578
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 80
  Wanakinondoni msikubali kuchagua Pilipili Hoho(Mtulia).
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #54
  Feb 12, 2018
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 15,402
  Likes Received: 2,037
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...