Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Frey Cosseny, Jan 30, 2018.

 1. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi?
  Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi.
  Mwenyezi Mungu akamruhusu nabii Mussa kutumia fimbo kupasua maji ili wajiokoe na majeshi ya farao.
  Ndugu zangu wana kinondoni swali langu kwenu ni ili! Kama Mwenyezi Mungu alimuuliza Mussa kitu alichonacho mkononi ili aweze kumpa msaada je kwetu itakuwa busara kumpigia kura mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura?
  Salum Mwalimu mgombea wa Freeman Mbowe kinondoni make siyo mgombea wa chadema kwani Chadema mgombea wao alikuwa Mh Kimbita diwani wa kata ya Hananasifu.
  Huyo mgombea wa Freeman Mbowe ndugu Salum Mwalimu hana kadi ya kupigia kura katika Jimbo la kinondoni hivi kwanini ukahangaike kumchagua mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujichagua?
  Je unawezaje kumsaidia mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?
  Swala la pili Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa chadema kule Zanzibar kwa mantiki hiyo anaishi Zanzibar je kwanini ndugu Freeman Mbowe atuletee mtu anayeishi Zanzibar?
  Maana yake ni kwamba tukishamchagua atarudi zake Zanzibar hatutakuwa naye je shughuli za Jimbo atafanya nani?
  Wana kinondoni tuangalie hata watu wanaomfanyia kampeni mgombea wa kivuli wa chadema hata wao wasivyo wapiga kura wa kinondoni.
  Salum Mwalimu ni mpiga kura wa Mkwajuni Zanzibar.
  Freeman Mbowe ni mpiga kura wa Hai Kilimanjaro.
  Edward Lowassa ni mpiga kura wa Monduli kule Arusha.
  Frederick Sumaye ni mpiga kura wa Anang mkoani Manyara
  Gobbles Lema ni mpiga kura wa Arusha Mjini.
  Hezekiah Wenje ni mpiga kura wa nyamagana mwanza.
  Wegesa Suguta Heche a.k.a John Heche ni mpiga kura wa Tarime Mara.
  Saed Kubenea ni mpiga kura wa Ubungo.
  John Mnyika ni mpiga kura wa Kibamba.
  Halima Mdee ni mpiga kura wa Kawe. N. K
  Katika kundi hili hayupo mpiga kura hata Moja wa kinondoni akiwemo mgombea mwenyewe.
  Tuje kwa Maulid Mtulia na timu yake ya kampeni.
  Maulid Mtulia ni mpiga kura wa Hali maua kijitonyama kinondoni.
  Idi Azan ni mpiga kura wa Magomeni Kinondoni.
  Abasi Tarimba ni mpiga kura wa Hananasifu kinondoni.
  Tamimu ni mpiga kura wa tandale kinondoni.
  Omar Kimbau ni mpiga kura wa makumbusho kinondoni walau timu ya Maulid Mtulia ina wapiga kura wa Jimbo la kinondoni wanaowafahamu adha na machungu yetu wana kinondoni.
  Mtulia ni mpiga kura wa kinondoni anayo kadi anaishi na amekulia kinondoni na watoto wake na mkewe wanaishi Jimbo la kinondoni ni mwenzetu shida yenu shida yake hata usiku wa manane ukimtafuta unampata live sasa niwaulize wana kinondoni wenzangu siye watoto wa Mjini mkimchagua Salum Mwalimu wa Freeman Mbowe ukiwa na shida na mbunge hata mchana mtavuka maji mkamfuate Zanzibar?
  Nasikia ana watoto Muulizeni Kama yeye mkazi wa kinondoni watoto wake wanaishi kata au mtaa upi kinondoni?
  Wana kinondoni siye watoto wa Mjini tusifanywe hayawani na Mbowe na timu yake.
  Hivi kwani Chadema hawana mwanachama Mkazi wa kinondoni mpk watuletee mkazi kikwajuni unguja Zanzibar kuja kugombea nafasi ya ubunge Kinondoni?
  Shida ya Salum Mwalimu siyo kuwaletea maendeleo bali kwenda bungeni kutafuta mshahara wa ubunge baada ya ukata mkali unaoikabili chadema kiasi cha kuwaachisha kazi karibu robo tatu ya wajumbe wa Secretariat ya chama icho.
  Ewe Mwana kinondoni ifikapo tarehe 17/02/2018 tuondoke asbuhi na mapema na kadi zetu za kupigia kura tuwahi vituoni.
  Kura zetu zooooooote tupige kwa kijana wetu Mzalendo mwenzetu wa Jimbo la kinondoni siyo mwingine ni comred Maulid Mtulia
  Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
  Frey Cosseny (Mnec wa Akiba)[​IMG]
   
 2. Gonya Gonya

  Gonya Gonya JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2018
  Joined: Jul 9, 2015
  Messages: 1,162
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 280
  Ujinga Ujinga tu!
   
 3. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Umesoma saa ngapi
   
 4. Mhilu

  Mhilu Member

  #4
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  Dr mwinyi alikuwa mbunge wa mkurunga .....!!CCM,
  Leo ni mbunge kutokea zanzibar CCM
   
 5. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2018
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,906
  Likes Received: 7,360
  Trophy Points: 280
  BAVICHA wanahangaika na kusoma basi wanachojua ni kurusha matusi tu
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 40,338
  Likes Received: 33,760
  Trophy Points: 280
  Mtulia hafai kuwatumikia wananchi wa Kinondoni
   
 7. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2018
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,760
  Likes Received: 3,837
  Trophy Points: 280
  Kwaio wamchangue ajliejitoa chama kuingia chama kingine ili aje achaguliwe pia si ndio?
   
 8. Gonya Gonya

  Gonya Gonya JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2018
  Joined: Jul 9, 2015
  Messages: 1,162
  Likes Received: 1,029
  Trophy Points: 280
  "Nisome Ujinga! Uniambukize na Mimi?
   
 9. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2018
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 10,337
  Likes Received: 8,359
  Trophy Points: 280
  Sylivester Mabumba mbunge wa kuchaguliwa Zanzibar unamjua?!
   
 10. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2018
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,318
  Likes Received: 1,362
  Trophy Points: 280
  Afadhali kuchagua wa kuja kuliko malaya/changudoa wa kujiuza!! Hatuwezi kuchagua malaya asiye na aibu kama mtulia! Muulize huyo Changu Mtulia atatulia tukimwamini? Tunajua lakini "kunguru hafugiki"
   
 11. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2018
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,906
  Likes Received: 7,360
  Trophy Points: 280
  Wankinondoni tutamchagua Mtulia
   
 12. Lekakui

  Lekakui JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2018
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tatizo liko hivi kaka,huyu jamaa alikuwa na fimbo mkononi tayari,akaamua kuitupa ili atafute nyingine na hali wali kuna ambao hawana hiyo fimbo,sasa huyu wa upande wa pili kwa case hii yako ya fimbo hajawahi kuishika ndo kwanza anapambana kuitafuta je yupi bora?....................nakuachia ujibu mwenyewe
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2018
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 12,934
  Likes Received: 3,235
  Trophy Points: 280
   
 14. cheguevara

  cheguevara JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2018
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 80
  Acha kuleta hadithi za bihlia hapa,hadi leo mtu mzima unakalia kuamini ujinga waliokuambukiza wazungu?

  Jiulize tu kwanini ndani ya bibloa wanaonhewa wazungu tu ina maana hakukuwa na mitume waafrika,wahindi,wachina,n.k au huyo Mungu hakuwaumba waafrika bali waafrika waliumbwa na wazungu?
   
 15. w

  weiber Member

  #15
  Jan 30, 2018
  Joined: Jan 28, 2018
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Njaaa Haifai jaman. Dhambi ya usaliti haitamuacha salama mtulia... watu walijitolea hawakulala ghafla kawageuka... eee mungu ebu onesha ghadhabu yako juu ya mtu huyu.. tunapenda matendo yako yajidhihirishe machon kwetu mapema ili watesi wetu wajifunze... onesha ishara zako kama ulivoonesha zama za agano la kale..
   
 16. J

  Jozi 1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2018
  Joined: Aug 16, 2015
  Messages: 5,054
  Likes Received: 2,293
  Trophy Points: 280
  Ninavyojua Dr. Mwinyi ana mashamba na Makazi Mkuranga.
  Ana makazi Dar, na anamakazi Zanzibar.
  Je huyu mgombea, Bw. Mwalimu ni mkazi wa Kinondoni?
  Yaani hana hata geto la kupanga???
  Kuna kipindi Lyatonga Mrema aligombea na kushinda kwa kishindo ubunge kule TMK.
  Lkn alikuwa na makazi yake kule.
   
 17. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Lakini ni mpiga kura wa huko
   
 18. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
   
 19. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Lete sababu
   
 20. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Bwana Yesu alisema mtu hawezi kuwatumikia mabwana wawili.
  Fikiria mtulia alikuwa anamtumikia Prof Ibrahim Lipumba, Maalim Seif na Bwana Freeman Mbowe yaani yeye alizidi hata mfano wa Yesu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...