Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi?
Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi.
Mwenyezi Mungu akamruhusu nabii Mussa kutumia fimbo kupasua maji ili wajiokoe na majeshi ya farao.
Ndugu zangu wana kinondoni swali langu kwenu ni ili! Kama Mwenyezi Mungu alimuuliza Mussa kitu alichonacho mkononi ili aweze kumpa msaada je kwetu itakuwa busara kumpigia kura mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujipigia kura?
Salum Mwalimu mgombea wa Freeman Mbowe kinondoni make siyo mgombea wa chadema kwani Chadema mgombea wao alikuwa Mh Kimbita diwani wa kata ya Hananasifu.
Huyo mgombea wa Freeman Mbowe ndugu Salum Mwalimu hana kadi ya kupigia kura katika Jimbo la kinondoni hivi kwanini ukahangaike kumchagua mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujichagua?
Je unawezaje kumsaidia mtu ambaye hata yeye mwenyewe hawezi kujisaidia?
Swala la pili Salum Mwalimu ni naibu katibu mkuu wa chadema kule Zanzibar kwa mantiki hiyo anaishi Zanzibar je kwanini ndugu Freeman Mbowe atuletee mtu anayeishi Zanzibar?
Maana yake ni kwamba tukishamchagua atarudi zake Zanzibar hatutakuwa naye je shughuli za Jimbo atafanya nani?
Wana kinondoni tuangalie hata watu wanaomfanyia kampeni mgombea wa kivuli wa chadema hata wao wasivyo wapiga kura wa kinondoni.
Salum Mwalimu ni mpiga kura wa Mkwajuni Zanzibar.
Freeman Mbowe ni mpiga kura wa Hai Kilimanjaro.
Edward Lowassa ni mpiga kura wa Monduli kule Arusha.
Frederick Sumaye ni mpiga kura wa Anang mkoani Manyara
Gobbles Lema ni mpiga kura wa Arusha Mjini.
Hezekiah Wenje ni mpiga kura wa nyamagana mwanza.
Wegesa Suguta Heche a.k.a John Heche ni mpiga kura wa Tarime Mara.
Saed Kubenea ni mpiga kura wa Ubungo.
John Mnyika ni mpiga kura wa Kibamba.
Halima Mdee ni mpiga kura wa Kawe. N. K
Katika kundi hili hayupo mpiga kura hata Moja wa kinondoni akiwemo mgombea mwenyewe.
Tuje kwa Maulid Mtulia na timu yake ya kampeni.
Maulid Mtulia ni mpiga kura wa Hali maua kijitonyama kinondoni.
Idi Azan ni mpiga kura wa Magomeni Kinondoni.
Abasi Tarimba ni mpiga kura wa Hananasifu kinondoni.
Tamimu ni mpiga kura wa tandale kinondoni.
Omar Kimbau ni mpiga kura wa makumbusho kinondoni walau timu ya Maulid Mtulia ina wapiga kura wa Jimbo la kinondoni wanaowafahamu adha na machungu yetu wana kinondoni.
Mtulia ni mpiga kura wa kinondoni anayo kadi anaishi na amekulia kinondoni na watoto wake na mkewe wanaishi Jimbo la kinondoni ni mwenzetu shida yenu shida yake hata usiku wa manane ukimtafuta unampata live sasa niwaulize wana kinondoni wenzangu siye watoto wa Mjini mkimchagua Salum Mwalimu wa Freeman Mbowe ukiwa na shida na mbunge hata mchana mtavuka maji mkamfuate Zanzibar?
Nasikia ana watoto Muulizeni Kama yeye mkazi wa kinondoni watoto wake wanaishi kata au mtaa upi kinondoni?
Wana kinondoni siye watoto wa Mjini tusifanywe hayawani na Mbowe na timu yake.
Hivi kwani Chadema hawana mwanachama Mkazi wa kinondoni mpk watuletee mkazi kikwajuni unguja Zanzibar kuja kugombea nafasi ya ubunge Kinondoni?
Shida ya Salum Mwalimu siyo kuwaletea maendeleo bali kwenda bungeni kutafuta mshahara wa ubunge baada ya ukata mkali unaoikabili chadema kiasi cha kuwaachisha kazi karibu robo tatu ya wajumbe wa Secretariat ya chama icho.
Ewe Mwana kinondoni ifikapo tarehe 17/02/2018 tuondoke asbuhi na mapema na kadi zetu za kupigia kura tuwahi vituoni.
Kura zetu zooooooote tupige kwa kijana wetu Mzalendo mwenzetu wa Jimbo la kinondoni siyo mwingine ni comred Maulid Mtulia
Chagua Mtulia chagua Chama Cha Mapinduzi kwa maendeleo ya wanakinondoni.
Frey Cosseny (Mnec wa Akiba)