Maulid kitenge

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Hivi nywele kule kichwani mwake ni style ya kunyoa amemuiga ronaldo de lima au alipata tatizo.
 
Mkuu ngoja waje wanaomjua vizuri kwa ufafanuzi,hata leo nimemuona mmh...!
 
Hiyo style inaitwa 'kiduku'......wanawake wa muuujini wanaizimia kweli.......kama unabisha muulize Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Benefit yake nini tukishajua style ya nywele za mume wa mtu ? Mkewe akipita kunako huu uzi ajifunze nini ?
Mantik hapa haijahusika kabisa!.
 
Benefit yake nini tukishajua style ya nywele za mume wa mtu ? Mkewe akipita kunako huu uzi ajifunze nini ?
Mantik hapa haijahusika kabisa!.

Correction sir: Jamaa ni mume wa WATU,chezeya kitenge wewe!
 
Kidume kitenge namkubali sana huyu mtu.Kile kiduku amezaliwa nacho Adios amigoo.Tehe tehe
 
Kitenge siyo lelemama
anauwezo wa kukaa na wamama watatu,
sijui anawezaje.

pengine wanampendea hizo fasheni za kichwani.
 
Niwekee picha yake mtoa mada anaweza kunivutia naona bado kwake kuna vacancy ,..

kitenge.jpg


thread ilishakuwepo long tiiime.....https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/91886-maulidi-kitenge-anaponyoa-kihuni.html
 
Labda umaarufu umeshuka, sasa anaupandisha. Na amefanikiwa, manake umenifanya hata mimi nikumbuke uwepo wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom