Nimepita hapa maeneo ya ilala karibu na club ya wazee, kuna mauaji yametokea kwa watu wawili kupigwa risasi na muuaji nae kajiua,pia wawil wamejeruhiwa. Taarifa zaid ntawajuza.
Kwa mujibu wa shuhuda wa Clouds FM.
Mauaji hayo yamefanyika maeneo ya Ilala, kataja maeneo kwa jina lake maarufu (bahati mbaya sikudaka vizuri). Inadaiwa kuna gari ilikua inatoka ndani ya geti kutoka ikiwa na dereva mwanaume, abiria mwanamke mbele, na abiria wengine wawili wakiwa seat ya nyuma.
Pembeni hapo kulikua na jamaa kasimama. Inadaiwa alishushwa hapo dakika chache toka katika tax, walipotokeza abiria hao kupitia gari yao alitoa silaha yake na kupiga risasi gari akilenga zaidi abiria wa mbele pande zote kisha na nyuma. Baada ya kumaliza hapo muuaji huyo naye alijipiga risasi na kufariki hapo hapo.
Dereva na abiria wake wa mbele wamefariki dunia, huku abiria wa nyuma mmoja mama mtu mzima kajeruhiwa na risasi mgongoni na dada mwingine kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.
huyo jamaa nae hana shabaha kama mangi mushi vile aaaargggg
Daah RIP Gabriel Munisi
usikute ni mbinu ya kapuya kutuhamisha kwenye ile single yake iliyohit.
Munissi???
yaani mie nlijua westgate imehamia Ilala boma.
na ule msongamano sikutaka hata kuuliza nani huyo bada ya tu ya kuskia ni madada na mkaka wameuawa hapo getini na huyo muuaji mwenyewe kajiua
Binafsi najiepusha kumiliki silaha japo zapatikana kirahisi.
unamaanisha morogoro au kule kwa waliochagua kuwekewa lami badala ya umeme miaka ile alafu wakawa wanatembea peku pekua ili lami yao isichafuke??!!!!
Teh teh teh tatizo hutembei na bango mgongoni..wiv wa kimapenzi?pambav za huyo muuwaji angekuja kunipenda mie nipo hapa ona kaenda moton sasa
Daah RIP Gabriel Munisi
Nadhani atakuwa anatoka kule kwa mazuzu yanayolima msimu mzima halafu mavuno wanayatumia kwa ajili ya ngoma na wengi wao miguu imeenda kushoto kwa kushambuliwa na funza.
Mkuu makitu inauma sana pale ambapo umewekeza kila kitu juu yake alafu kaharibia chumba na kitanda kilekile mnacholalia...Sikuwahi kuwaza kulipiza kisasi kwa mambo ya wivu wa kimapenzi - ikitokea nikahisi kuibiwa naomba mungu aniepushe na hasira
mmmmmmmmmmh