Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

allah akbaru....kama ile ya mushi na u4 saro..tofauti ile ilikuwa alfajiri alafu hii mchana peupe

yaani mie nlijua westgate imehamia Ilala boma.
na ule msongamano sikutaka hata kuuliza nani huyo bada ya tu ya kuskia ni madada na mkaka wameuawa hapo getini na huyo muuaji mwenyewe kajiua
 
Aisee........kuna watu wana roho za ajabu

mie leo nimeogopa acha kabisa hata akili haijanikaa sawa nikasema najutaa kwenda boma asbh ya leo.
nimeamua kurudi ofcn hata kazi siwez kufanya kwa nilichokiona leo, tena bhana ni mita chache tu toka benk ya crdb
 
huyo jamaa nae hana shabaha kama mangi mushi vile aaaargggg
 
Kuna Siri hapo na pengine mzinguaji ni shemeji ila jamaa alivumilia akaona imefika mwisho tumrudie mungu
 
hakuna jipya hapo, hayo ndiyo matumizi ya silaha yanavyotakiwa!
 
Ahaaa, nawapa pole sana familia hiyo.
R.I.P wote waliopoteza maisha.
 
mie leo nimeogopa acha kabisa hata akili haijanikaa sawa nikasema najutaa kwenda boma asbh ya leo.
nimeamua kurudi ofcn hata kazi siwez kufanya kwa nilichokiona leo, tena bhana ni mita chache tu toka benk ya crdb

Aisee...mie hayo maeneo siyajui vizuri......hapo lazima uchangayikiwe kidogo.......

huyo naona alikuwa na hao watu.......yaani mtu uue na wewe ujiue..yale yale ka issue ya kina ufoo

Pole mwaya kwa masahibu ya asubuhi asubuhi
 
..maisha yanazidi kuwa magumu ...FULL msongo wa mawazooooo....Mushitization kwa sasa ni janga la Taifa
 
na huyu jamaa muuaji alikuwa anajua hawa maadui zake wangekuja kwenye hii nyumba kwani watu wa hapo walikuw2a wanasema ile pick up ilipaki pale muda kidogo kisha ikaanza kuondoika kuifwata gari ndogo mara tu gari liliposimama getini kusibiri kufiunguliwa.

mm sijawah kuskia mlio wa risasi near by leo nimejionea mwenyewe.
 
it means alikuwa keshawalia Mingle mda mrefu.....keshajua ratiba zao leo akawa anasubiri
kutimiza azma yako.ko hapo wamefariki watu wangapi jumla..........

Leo ukahisi ya wastegate yametokea Ilala Boma
 
Hao wenye roho hizo walitakiwa wapelekwe kongo kupambana na m23.Halafu hao ndio wanaongoza kwa kupost kashika bastola ktk instagram mwisho wa cku wanajiua wenyewe.

"Nlikuwepo":bolt:
 
it means alikuwa keshawalia Mingle mda mrefu.....keshajua ratiba zao leo akawa anasubiri
kutimiza azma yako.ko hapo wamefariki watu wangapi jumla..........

Leo ukahisi ya wastegate yametokea Ilala Boma

wamekufa watu watatu jumla na majeruhi 2.

mwali ilala boma nilipaona ni westgate ghafla sina hamu jamani

nilitraman nishuke nibebe kamkweche kichwan nikimbie.

lakin pia nilichoshangaa eti kuna watu walikuwa wanakimbilia kwenda kuangalia nikasema hivi wamesahau yale ya west gate??
 
..maisha yanazidi kuwa magumu ...FULL msongo wa mawazooooo....Mushitization kwa sasa ni janga la Taifa

Labda upande wa pili nao uliangukia under Ufootization. Hence mauaji
 
Spirit ya kiarabu hii " IF YOU HURT ME, I KILL YOU AND I KILL MYSELF"
Likud vipi?... ivo na akina UFOO nao spirit ya kiarabu;- Mauaji kwa Silaha hayanaga UKOO,UKABILA,UNASABAA,UDUGU,UTAIFA,UHASAMA,UGOMVI,USHARI, nk..... Waswahili wanausemi " Hasira Hasara" [h=3]Mwandishi wa ITV apigwa risasi mbili[/h]Posted Monday, October 14, 2013 | Na Waandishi Wetu, Mwananchi
saro.jpg
Kibaha/Dar es Salaam. Mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi mbili jana alfajiri huko Kibamba, Dar es Salaam....

[h=3]Mamia wa wamzika mama wa Ufoo Saro[/h]Posted Thursday, October 17, 2013 | Na Rehema Matowo na Joseph Zablon, Mwananchi
Kijiji cha Uraa Machame kilichoko wilayani Hai mkoani Kilimanjaro jana kilifurika mamia ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali walioshiriki mazishi ya Anastazia Saro ambaye ni mama mzazi wa mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro....

mwanzo» Habari» Siasa
[h=3]Wazuiwa kumwona Ufoo, mamia wamuaga mama yake[/h]Posted Wednesday, October 16, 2013 | Na Joseph Zablon na Elizabeth Edward, Mwananchi
Mamia ya waombolezaji jana walimiminika Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuaga mwili wa Anastazia Saro ambaye ni mama wa Mwandishi wa ITV, Ufoo Saro, aliyeuawa kwa kupigwa risasi mwishoni mwa wiki....
 
hii imetokea saa moja na nusu hivi kutoka sasa ni maeneo ya ilala Boma, lilikuwa gari dogo ambalo lilismama ili kusubiri kufungiuliwa geti kisha ikaja pick up akashuka mkaka akamfyatua risasi ya ubongo dereva, wa hiyo gari ndogo kisha akamfyatua mwanamama alokuwa kushoto kisha akawa pasi abiria wawili walokuwa wamekaa kiti cha nyuma.

kisha ajifyatua yeyey mwenyewe toka kidevuni hadi utosini.

sikutaka kushuhudia zaid manake nisije nikajikuta napatapao ya shavu nikasepa mdogo mdogo.

Hebu tuwekeeni jina la huyo jamaa_asije kuwa mbiga mbwia unga kaua watu bila sababu...hapa namaanisha wivu wa mapenzi kama ndio sababu ya kuua watu ni ujinga....sema ilala wengi ni waarabu na jamii zao..pambafuuuuu
 
Back
Top Bottom