Basi tuseme kwamba watu wanamiss maandalizi ya dhoruba lolote litokealo kwenye issue ya mapenzi,mapenzi haya ya leo tatizo yametawaliwa na pesa,mkuu yalishanikuta acha kusema mimi mwanamke alinikimbia yaani kidogo inafanana na ya mwanamke wa uturuki.lakini bado kuua sio solution, nadhani ni kulizika kwa kila jambo, mwanaume unatakiwa kuwa tayari kwa kila jambo...au mwanamke pia, maana yakitokea kwa upande wa pili, wanawake wao hujiua wenyewe bila kumdhuru wenzake
Bunduki zipunguziwe masharti ili wengi zaidi tuzimiliki. Zinaleta heshima sana. Wenye hela mnatugongea sana mademu zetu. Vijana wachochole (hali ya kati) tunapata wakati mgumu sana kuoa maana dada zetu wachochole mmewaharibu sanaa. Kova we need more Gunz. Nasikia kigoma, mara, kagera zinapatikana kwa buku hamsini.
Sema wanakosea wanapoamua kujiua, inabidi wabaki ili watupe mkasa mzima.
ndo speed gavana ya watoto wa kike tu
Wengi humu mnasema usiwekeze kwademu bora mke,mm nasema HAPANA usiwekeze kwa wote, nimeuza nyumba zangu mbili kuanzisha mradi,mke wangu wa miaka 15 ameendesha magari mazuri mnayoyajua hapa mjini,katombwa na kula kulala kamuajiri kwa miradi yetu,ati anaitwa meneja,kazalishwa bado tu yuko kwangu,nimegundua nimetupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Talk of the town! hahaha!Nimepita, ngoja nikapate updates za Kapuya.
nitamsomesha mke wangu wa ndoa tu hawa wengine tutaishia kutumiana vocha
Hayo ndo madhara ya kugawa bastola kama njugu,hadi inafikia hatua hadi matahira wanapewa
"No woman no cry".......Bob Marley
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa_tuko wengi,...mimi kapo kabinti kanasema eti nikanunue music system,..nimekatema kanalia tena,..sema mimi mwenyewe sura ya kokoto wala sijali kitu
mguu moja ndani, moja njee ndio mpango mzima.