Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

kwa nini utumike kama stepping stone banaaa!!
badilikeni aisee .. no committment no investment.

pole nyingi kwa wafiwa.
 

Duh pole broda inaonekana hawa waliotuzaa wamekuumiza sana maana hii mistari si mchezo lazima utakuwa umepita kikaangoni kweli kweli. However, its good kwamba maisha yanaendelea. God bless!
 

Mbona habari zatofautiana??
Picha yaonesha jamaa kajilipua Kwa paji la uso. Mara alikuja na taxi! Wewe wasema pick up!!! Which is witch??
 

hapa ndipo na mkumbukia mama Mwanahawa Ali "Tenda wema uende za usingoje shukurani kwani shukurani ya punda ni mateke.." (taarab song)
 
Hayo ndo madhara ya kugawa bastola kama njugu,hadi inafikia hatua hadi matahira wanapewa
 
kumgharamikia mwanamke, hasa hasa ambaye haujamuoa ni sawa na kujenga nyumba bondeni au kwenye hifadhi ya barabara.

Kwenye hifadhi ya barabara unaongea na TANROADS hawana noma sana ila bondeni sawa.
 
hapa ndipo na mkumbukia mama Mwanahawa Ali "Tenda wema uende za usingoje shukurani kwani shukurani ya punda ni mateke.." (taarab song)

Hapana hapa kulikuwa na mkataba / contract kama ni kweli lakini. Kulikuwa na contact kati ya hawa wawili, kumbuka mkataba siyo lazima uandikwe hata wa maneno ni mkataba
 
Kiukweli na sisi wanaume tumezidi kuwekeza nguvu na pesa nyingi sana kwa mwanamke ambaye ni mchumba tu na pengine kidume una mke halali alafu unatumia pesa kibao kisa nyapu za nje ukigeukwa unapagawa hasa mapesa uliyotupa.
 
maisha ni commitment mke na mume/wachumba wanapanga kwa pamoja mm nasimama na hili wewe fanya lile for the good future tumekuwa kitu kimoja lengo moja nia moja #unabetray , but for players betrayal is not an issue,kwa wenye maadili mema ni tatizo kubwa.
 

u rily need a psychiatrist.....una maumiv makali sana moyoni
 
Hapana hapa kulikuwa na mkataba / contract kama ni kweli lakini. Kulikuwa na contact kati ya hawa wawili, kumbuka mkataba siyo lazima uandikwe hata wa maneno ni mkataba

weeee cku hizi NOT WRITTEN NOT DONE...nyati
 
wakome bwana mademu sijui ni vipi tamaa tu mungu amsamehe msela.Ila tahadhar tusijaribu kuwekeza kwa wachumba tutajiua na kuuwa mpaka lini pia utatesa wazazi bure,tuwen makini vijana wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…