Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,061
tatizo pesa zilizookolewa zitarudishwa zilipoibwa au polisi watasema tumeokoa pesa lakini jambazi jingine lilirusha risasi na kukimbia na pesa hizo. huku chemba polisi wanagawana ulaji. ndio zao hao.
jambazi limekamatwa ila pesa hazijaonekana, maajabu