salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 363
Watu wawili raia wa-Kisomali wameuawa na majambazi walikuwa wanaelekea bank kupeleka hela ila jambazi mmoja amekamatwa ndio huyo. Kama mtu unajua uliibiwa chochote nenda pale polisi kawe (karibu na Tanganyika packers).
Wamekamata vitu vingi kwenye nyumba ya huyu jamaa (Rama Jangili) aliyekua anafanya wizi huu Magari pia yamekutwa mwenye taarifa hii amjulishe na mwenzie
Updates.
Wamemkamata mmoja na silaha (bastola) na aliyeuwawa ni mmoja si wawili. Alikua na sh 150m toka dukani na zimekwenda na ilikua Mtaa wa Livingstone na Uhuru, sio Kongo bar, ila risasi kibao zimelia na ilikua taharuki mtaani hapo.