Inakuwaje wanafungwa mashoga lakini Mabasha wao wanaachwa, tupo serious Kweli?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
INAKUWAJE WANAFUNGWA MASHOGA ALAFU MABASHA WAO WANAACHWA HIVI TUPO SERIOUS KWELI?

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Kwa Sisi Watibeli MTU Shoga anauawa, ni Kwa Sisi hilo lieleweke. Na hata ikitokea Mtibeli akashika uongozi WA juu kwenye nchi hii basi wananchi waelewe hivyo. Hii ni kumaanisha Sisi Watibeli sio Rafiki Kwa mazingira ya Ulimwengu wa sasa kupewa madaraka.

Niliona Yule Afande wa Zanzibar akifunguliwa mashtaka Kwa shutuma ya ushoga Kutokana na ushahidi WA video iliyovuja.
Nikaipongeza serikali Kwa kuchukua hatua lakini mara nikakumbuka mbona aliyefunguliwa mashtaka ni mmoja ilhali Ile video iliwaonyesha Wahusika Wawili wakifanya vitendo vya uchafu.

Kwa nini Yule aliyekuwa anamzagamua Afande hajakamatwa? Mbona sheria inasema wazi kuwa ni kosa la jinai kumuingilia mtu kinyume na maumbile na adhabu yake ni Mvua ya miaka 30, sasa mbona mmoja ndio kaingia matatani?

Sipo hapa kumtetea mhalifu hasa wahalifu waliovuka mipaka, uhalifu kama mauaji, ushoga, ubakaji na Uchawi Kwa Sisi Watibeli hauvumiliki hata Kidogo.

Haya kuna kesi nyingine hukumu yake imetoka juzi, Huko sijui mtwara. Kijana ahukumiwa miaka 30 Kwa kosa la kuinguliwa kinyume na maumbile Kwa ridhaa yake. Lakini Hukumu hiyo imekaa kimya kuhusu waliokuwa wanafanya uchafu huo na huyo Kijana.

Viongozi wa Serikali, Wahusika wa mambo ya sheria, ninawasihi tuache mchezo.

Mnapokamata mashoga kamateni na mabasha wao, ingawaje kwenye ishu ya kukamata basha ni lazima iwe Red-handed ili kuepusha mtu kusingiziwa.

Shoga afungwe miaka 30 na basha wake afungwe miaka 30.
Kama walikuwa wakifanyana basi adhabu inakuwa double mara mbili yaani miaka 30 ya kuingiliwa kinyume na maumbile na miaka 30 ya kumuingilia mtu kinyume na maumbile, Jumla miaka 60.

Wanaosema serikali iache kufuatilia ishu ndogondogo wakae wakijua ushoga sio ishu ndogo, ushoga ni kama ubakaji, na ushenzi mwingine kama Mama kulala na Mwanaume au Baba kulala na Mwanaye ATI Kwa kisingizio cha hiyari Yao.

Hakuna hiyari kwenye Uhalifu hilo mkae mkijua. Kwani MTU akivuta bangi au madawa ya kulevya si anavuta Kwa hiyari yake?
Au MTU akitoa rushwa wengi wanatoa Kwa hiyari Yao ili mambo Yao yawaendee Kwa haraka. Mbona hiyo hamsemi ni ishu ndogondogo.

Wewe unayesema MTU kaamua kwahiyari yake, unafikiri siku muamue kufirana wewe na kijana wako au wewe na Mama yako ATI kisa ni hiyari unafikiri tutakuacha Kwa uchafu utakaoufanya?
(Nimesema Kwa hasira, mtanisamehe Ila najaribu kueleza Kwa Lugha Kali ili wapumbavu waelewe)

Ili kutenda HAKI tunaiomba serikali na Mahakama, zile hukumu zote zilizopitishwa na waliohukumiwa Jela miaka 30 waseme walikuwa wanafanya na kina Nani, kisha hao mabasha NAO wafunguliwe mashtaka.
Huwezi mfunga MTU Wakati hakuwa pekeake.

Unafunga shoga unamuacha Basha nje si atauendeleza mchezo wa kuingilia Watu Huko nje. Fungeni.

Nawapongeza wote mnaoendelea kuchukua hatua katika Jambo Hilo.
Ila muhimu zaidi,
1. Sheria ziongezwe upana wake Kwa kuongeza na tabia na Baadhi ya vitendo vya kishoga navyo viwekewe adhabu Kali, mathalani kuvaa kikike, kuongea kikike, kufanya Matendo yoyote yasiyofanana na uhusika wa Mtu kama ni Mwanaume au Mwanamke.

2. Serikali ifuatilie chanzo cha ushoga cha Vijana husika ili kuondoa uonevu. Mfano wapo Vijana ambao waliingizwa kwenye ushoga Kutokana na kubakwa na kulawitiwa na Ndugu wa karibu pindi wakiwa wadogo.
Vijana hawa adhabu zao zilenge kuwabadilisha Tabia hiyo. Mfano, watafungwa miaka mitatu mpaka Mitano kisha Huko Jela watafutiwe wataalamu WA Saikolojia ili kuwaweka Sawa. Wakishapona warejeshwe uraiani. Na kama watarejea katika Tabia hiyo basi ihesabike walifanya kosa la Makusudi. Hivyo adhabu Kali itawahusu.

3. Serikali na jamii iweke vizuizi vingi ili kudhibiti mambo ya single mother, maadili yarejeshwe. Kwa mazingira ya mjini hasa Kwa tabaka la Chini na juu ni rahisi Kwa mtoto wa single mother kuingia katika mambo ya ushoga. Kwani mtoto wa kiume anapofikisha miaka ya balehe bila nguvu ya mzazi wa kiume ni rahisi kupotea.

4. Serikali, Dini, Koo na makampuni au mashirika yaweke sheria kuwa Mwanaume atakayezalisha Mwanamke na asimuoe atafukuzwa kazi, atatengwa na Dini na kupewa adhabu zingine.
Huku ikisema vivyohivyo Kwa upande wa Wanawake kuwa akipata mimba Kabla ya Ndoa atafukuzwa kazi na kutengwa na Dini. Sheria ieleze pia, bila kuathiri sheria hiyo ya juu, endapo mwanaume ataoa Mwanamke kumbe ni Kwa sababu ya kuogopa kufukuzwa kazi, au kutengwa na Dini au kutengwa na ukoo wake, akaoa lakini akawa hawajibiki na akawa anamnyanyasa basi Mwanamke ataomba Talaka lakini litakuwa jukumu la mwanaume kumtunza huyo Mwanamke na mtoto wake mpaka huyo Mwanamke atakapoolewa, na mpaka mtoto atakapofikisha miaka 18.
Hii itaongeza idadi ya Watu wenye uadilifu katika mahusiano. Na pia itapunguza Watoto wanaolelewa na Mzazi mmoja.
Kuvurugika Kwa taasisi ya Ndoa ni moja ya sababu ya ongezeko la ushoga.

Nawatakia Sabato NJEMA na Eid Mubarak.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Shoga awataje yeye ndo anawajua pia ushaid mwingine kuna sms/call za basha.iyo sheria ikiwekwa tutapambna na ushoga kwa kiwango kikubwa ila unamfunga shoga basha anabak mtaan anatengeneza shoga wengine.

Yaani ukamate Shoga Kwa ushahidi alafu ushindwe kukamata aliyekuwa anampakua, hiyo haiwezekaniki
 
Kesi ndizo zinaleta ajira kwa mahakimu, ukiwafunga mabasha utakuwa umeharibu chanzo cha maji, mto utakauka yaani kesi hazitakuwepo.
 
Very Good
 
Ni kweli.
Kama mzazi anaweza kuripoti kesi ya ubakaji ukifanyika Kwa Binti au kijana wake.
Iweje akiona kijana wake ni shoga asiende kushtaki polisi
Peleka mtoto dojo, tenga muda kwa ajili ya watoto, wafundishe madhara ya vitendo hivyo, wpeleke kwenye ibada wamjue na kumuogopa Mungu. Inaweza kusaidia kupunguza mashoga
 
Back
Top Bottom