Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

FB_IMG_1504880917630.jpg


try me
 
Kama nikipewa nafasi ya kuisaidia polisi kuhusu hili na ikafika kipengele cha kutaja washukiwa natamani nijue jina lako halisi ili uwe wa kwanza kwenye orodha yangu.


Hahahaaa natania tu mkuu ila umejitahidi kudadavua tukio kitaalamu zaidi,,,naomba kuuliza "hivi wewe ni mmoja kati ya HM?"
Utani gani huo,,,,,,,?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange Kimambi, anauliza je, kwann Jana kwa Mara ya kwanza Makonda hakuwepo Ikulu wakati MAGU akipokea ripoti za Kamati teule za Bunge?

Anasema Bashite alikuwa DOM kuratibu zoezilililoshindwa lakuondoa Uha wake..

-Domhome-
Mkubwa wahenga wa kizungu wanasema usidharau neno lolote hata liwe la kijinga sana. Hiyo kauli ya Mange sio ya kuupuza. Ni kuunga doti unapata majibu sahihi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom