Kama wewe ni mnafiki jiangalie na epuka unafiki maana makazi yako ni kwenye moto mkali wa chini. Vinginevyo ni kweli miaka ya sasa wanafiki wamejaaWAISLAMU TUNAONGOZA KWA UNAFIKI
OVER
Mkuu unachokisema ni sawa kwa mtizamo wa ufanyaji wa kazi unaodhani utawawezesha kupata kile unachodhan wanatafuta. Lakini wao pia wana mbinu mbadala tofaut na ya kwako na pengine hivo vitu wanatafuta vinahifadhiwa hapo msikitini na sio majumban unakosema wakakamatiwe.Mimi sijui na sitetei yeyote, isipokuwa msimamo wangu ni kuwa haki za watu lazima zitunzwe, watu waovu wahukumiwe kwa haki na sio kwa dhuluma. Na ikiwa jambo linagusa public interests basi kama kuna uovu itolewe taarifa kwa umma na tuthibitishiwe uhalifu wao bila kuwepo ya shaka nasi tutaridhika kuwa watu hawa wamepata kilichokuwa haki yao. Naamini kama kweli walifanya upelelezi wa kutosha, bila shaka nyumba za hao watu walikuwa wakizijua na ningetaraji hao watu wangewakamatia majumbani mwao na sio msikitini.
Waislam wa Tanzania kuitegemea BAKWATA ni dalili ya kushindwa. BAKWATA ni zao la CCM, ni kama tawi , iweje waislam mara mara mnahangaika na kitu ambacho si chenu. Mimi nashangazwa na taasisi kadhaa zilizo nje ya BAKWATA zinavyosa ushawishi na kuacha waislam waende kama mbuzi waliokosa mchungaji. BARAZA KUU, SHURA YA MAIMAMU NK. Taasisi hizi nyingi zimejikita kwenye siasa badala ya kupigania maslahi ya wauminiUislam ulitamalaki kwa nguvu ya umoja
Lakini kwa sasa umoja baina ya waislamu hakuna
Tumetenganishwa na mambo ya makundi (madhehebu)
BAKWATA WANAJIONA WAO NDIO WANAHAKI DHIDI YA WAISLAMU
na kazi yao kujikomba kwa watawala tangu nazaliwa sijawahi kuona bakwata wakitoka hadharani kukemea jambo baya zaidi ya kuiipendekeza BAHASHA ZA KAKI MBAYA SANA
Wewe jamaa achana na fikra hasi. Waislam hamkuwekeza kwenye elimu dunia mtaitumikiaje dunia? Wenzenu wanapeleka watoto Madarasa ya awali ninyi mnapeleka watoto madrasa kukariri kurhan. Sasa ulitegemea nani ashike nchi na nani abaki mtu wa ibada?Yaani inatia uchungu sana kuona kumbe hawa "wenzetu" ambao ni wakristo wana chuki na manyanyaso dhidi ya uislam hapa Tanzania bila sababu yoyote ua msingi.
Wakristo mumeishika nchi tangu uhuru lakini kabla ya hapo historia inajulikana japo haizungumzwi kabsaa.
Naam ni kweli mkuu. Upo sahihi.weewee sio wakristo wote, hawa ni wajinga wachache hapa JF , mimi nimeishi community na waislam wakiwa na wakristo na kulikuwa hamna ugomvi wala chuki yoyote za kidini... wajinga wanaomchukia mtu kisa imani yake hawapo kwenye ukristo tu, wapo kwenye uislam pia, ila huwezi ku generalize waislam wote kisa wachache
Umeongea sawa kabisaMkuu unachokisema ni sawa kwa mtizamo wa ufanyaji wa kazi unaodhani utawawezesha kupata kile unachodhan wanatafuta. Lakini wao pia wana mbinu mbadala tofaut na ya kwako na pengine hivo vitu wanatafuta vinahifadhiwa hapo msikitini na sio majumban unakosema wakakamatiwe.
Ninachojiuliza Kilwa mskiti ni mmoja? Kwanini Chamo?
Tambua wakati mwingine serikali hailazimiki kutoa taarifa zilizokusanywa na pia inaweza kukukataza wewe kuwasiliana na mtu yeyote juu ya kile walichokuhoji. Pia wanaweza kukushikilia kwa muda usiojulikani na pengine kukupoteza ikiwa na tisho kwa usalama wa wengi.
Taarifa za kiitelijensia hazitolewi hadharani, wakishajiridhisha wanakupeleka mahakamani. Taarifa au mashtaka utapewa huko lakini sio kuanza kuwaletea taarifa majumbani kwenu
Hivyo muitumie dhamana hiyo vizuri kwa kutenda haki kwa watu wa makundi yote kwa kua ninyi ni binaadam na mkumbuke kua kuna maisha baada ya Dunia ambayo yataamuliwa na matendo yenu hapa Duniani aidha Peponi au Jahannam (Motoni)
Msikiti haufungwi hauna mda wa kuswaliAcheni unafiki. Saa saba usiku mlikua mnafanya nini mskitini?
Sell said....hiyo kaongea tu kishabiki au kihisia kabla inabidi ajue watu wana shuguli zao na sa hv hata ukiwa chooninutadakwa utapotea...sio lazi a uwe msikitini au kansani au kazini...yani popote wasiojulikana wana weweKwani ukiwepo msikitini shida iko wapi?kwani nchii hii ina mda wa kua sehem maalum kwa mda maa
lumu?acha unafki na kushadadia mambo mabaya kwakua hayajakukuta...
Wakimaliza kwetu wanakuja kwako....
Siku ukijua tunapoelekea naomba uni-tag shostsijui tunaelekea wapi kiukweli
Nimekuelewa boss. Lkn binafsi sijawahi kuonaMsikiti haufungwi hauna mda wa kuswali
Ulitaka wawe wapi na leo Ijumaa?Acheni unafiki. Saa saba usiku mlikua mnafanya nini mskitini?
Sheikh. Hawana wake hawa ?Ulitaka wawe wapi na leo Ijumaa?