Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

BORA UNYAMAZE

Huna ujualo
Sioni ulichoandika hapo. Ni utumbo wa nguruwe ndio naona hapo. Serikali hii ya awamu ya 5 unaiita ya kidkteta ? Kikwete alituambia. Wakitaka kuichafua serikali. Waonyeshe fly over. SRG. Viwanja vya ndege. Dawa hospitalini. Elimu bure etc

Chige unajitia kuutetea uislamu wakati hata juzuu 3 hujamaliza. Little knowledge is poison. Wewe ndio wale tunaokutana nao Kimara kwenye viti moto halafu huku mkisema ya Kimara tuyaache Kimara. Muislam gani wewe unatukana ovyo ovyo. Uislamu wa kweli ni uungwana. Usafi. Usomi. Utanashati etc

You are a fundamentalist and fundamentalism is a straight jacket
 
Na mpigwe tu maana hakuna namna....
Mmezidi kucheza ma-karate misikitini badala ya kuswali.

Imekuwa kawaida kuwafundisha vijana wetu mashuleni judo na karate, kutumia majambia, na siku hizi mpaka meditation mnafanya ndani ya masjidi za mashule.

Mimi narudia kauli ya Pinda aliposema
"Na wapigwe tu"
Mkuu leo umepotoka, waislam ni ndg zetu wa damu kinachofanywa inchi hii wakimalizwa wao tutageukiwa sisi tunapaswa kulaani hili ni tatizo.
DRC Leo hii wanachinjwa wa Kristo tusinyamazie upuuzi huu
 
Acheni unafiki. Saa saba usiku mlikua mnafanya nini mskitini kama sio uhuni ?
Mkuu waislam wao wanakawaida hata ya kulala msikitini ni utaratibu wa imani yao usibeze kwani hakuna makanisa kila siku wanalala makanisani kuomba?
Tuwe wazalendo waislam ni ndg zetu wa damu
 
Ugaidi hauna nafasi duniani, ni bora kuua magaidi wote na ndicho duniani kote inavyofanyika, haijalishi gaidi awe na dini au bila dini, hao jamaa zako ni magaidi, acha wafe. Tatizo lingine baadhi ya dini mnaamini kufa kwa kuua wengine ili upate thawabu ya ahera, sasa vikundi kama hivyo US na Arabuni huwa wanaviteketeza kwa kuua wote.
Mkuu hawa makasisi wanaouliwa Kongo DRC ni magaidi?
Si kwasababu ya maslahi ya wanasiasa?

Kumbuka Leo kwao kesho kwetu Mungu wao ndiye Mungu wetu IPO siku utayakumbuka maneno yako
 
Kuna baadhi ya waislmu ni magaidi (hata huko alikozaliwa mtume wanapambana nao pia). Sasa unakuja unafiki wa waislamu ni pale fala mmoja anasema TAKBIR, wengine wanaitikia kama mbuzi then wanaenda kuua watu kwa kutumia imani ya ua nenda ahera, then hawajiulizi hivi kuua ndiyo suluhisho
Mungu wao ni Mungu wetu tuongee sauti ya kuwavuta mezani pa Kristo siyo kuwaua na kuwakatisha tamaa Leo kwao kesho kwetu
 
Asigwa leo sijapenfezwa na mchango wako hata kidogo.
Mimi ni mkristo tena mkristo kweli lkn siwezi kiwachukia ndg zetu waislam kiasi hicho.
Ni maoni yake mkuu wala hamuwezi kuwaza mfanano kama maiti, hivyo heshimu tu mawazo yake maana ni uhuru wake wa kutoa maoni
 
Mfua suleiman
Ugaidi hauna nafasi duniani, ni bora kuua magaidi wote na ndicho duniani kote inavyofanyika, haijalishi gaidi awe na dini au bila dini, hao jamaa zako ni magaidi, acha wafe. Tatizo lingine baadhi ya dini mnaamini kufa kwa kuua wengine ili upate thawabu ya ahera, sasa vikundi kama hivyo US na Arabuni huwa wanaviteketeza kwa kuua wote.

U a too blind my sista. Kile kiitwacho vita ya ugaidi hakipo kama unavyokidhani. Ugaidi ni very complicated issue. Ina siasa ndani yake-kama vile US anavyowapeleka ISIS syria ili kupata nafasi ya kuingia Syria kumshambulia Assad, inahujuma za kiuchumi--kina Soros wanafadhili ugaidi ili kutrade. Pia usipende sana kuamini kirahisi taarifa za Polisi. Kuna dirty games nyingi nyuma yake.
 
Tupewe hayo maelezo ya inteligensia yenye ushahidi usiotia shaka. Hata wewe sio rahisi mtoto wako auawe mbele ya macho yako halafu unaambiwa ni mwizi bila uthibitisho halafu utakubal kirahisi rahisi. Tusishabikie tu mambo kwasababu yamewakuta wenzetu
Usalama hawatoi taarifa kihivo mkuu. Hawawezi kukupatia taarifa mtu mmoja mmoja. Nakumbuka kulikuwa na rafiki yangu mmoja alinambia kuna mashehe walikuwa wanapanga mbinu kwa vijana kuwasafirisha nje kujiunga na ugaidi. Lakini bado walikuwa wanafuatiliwa kwa karibu sana kuhusu mtandao wao. Siku walipofurushwa watu wakabaki kulalamika tu mashehe wanaonewa.

Kuna mambo ya kijinga sana yanaendelea kwenye makanisa na miskiti sasa yanakuja kugarimu watu wengine walioingia bila kujua.

Cha kujiuliza huko Kilwa ni kwanini iwe msikiti wa Chamo na sio mingine. Kuna ushenzi unaendelea hapo kwa kivuli cha dini. Dini haina tatizo ila kuna wahuni wanapitia dini kuleta sintofahamu kwa jamii na waumini wa kiislam
 
Haya mambo ..ukiangalia ki wepesi...tutasema mengi....kuna mambo yanafanyika kimya kimya na ukiambiwa huwezi amini!
Binadam tuna shida sana!
 
Kinachonisikitisha kwa waislamu huwa hawaoni madhila yanayofanywa na watawala mpaka pale wanapoguswa wao au maslahi yao ndio utasikia wakilalamika Jamii yao inaonewa.Kuna usemi ,"Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu."Msisubiri mpaka yawakute ninyi muanze kulalamika.Shirikianeni na watu wa jamii zingine ambao ni waathirika wa haya maonevu.Sauti ziipazwa kwa pamoja zinakuwa na nguvu kuliko kila mmoja akipaza sauti kivyake.Mwisho ninawapa pole kwa madhila yaliyowafika.
Mkuu upo sawa sana kimtazamo wa nje, lakini ukweli ni kwamba waislam wamewekewa Jumuiya bandia yaani bakwata ni sawa na jumuiya zengine za ccm na hapo ndio tatizo lilipo.
 
Kinachonisikitisha kwa waislamu huwa hawaoni madhila yanayofanywa na watawala mpaka pale wanapoguswa wao au maslahi yao ndio utasikia wakilalamika Jamii yao inaonewa.Kuna usemi ,"Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu."Msisubiri mpaka yawakute ninyi muanze kulalamika.Shirikianeni na watu wa jamii zingine ambao ni waathirika wa haya maonevu.Sauti ziipazwa kwa pamoja zinakuwa na nguvu kuliko kila mmoja akipaza sauti kivyake.Mwisho ninawapa pole kwa madhila yaliyowafika.
Nadhani nimekuelewa, si kweli kwamba Islam hawaoni hayo madhila wanayaona sana tatizo wao wameanza kulalamika muda mrefu sana hakuna anayewasikia na mwisho hao hao upande wa pili wamewaita walalamishi na kwamba hawaridhiki hadi wamefikia kuitwa magaidi sasa leo mkuu wangu unataka waungane na nani? Mbona hata hivyo wanayamaliza kimya kimya! hapo viongozi wangeingilia kati aibu ingekuwa kwa nani? Pia tambua iIslam hana uhuru katika hii nchi yake akina gwajima , kakobe na wengine wanaropoka hakuna lolote linalowapata, hebu jiulize angeropoka Islam angekuwaje?
 
Mimi pia nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa wanzetu wakristo tumewafanyia nini sisi waislam? Najiuliza swali hili kwasababu tupo nao maofisini, tupo nao katika misiba yao na ya kwetu, tupo nao kwenye shida za kuuguliwa, tunakula nao, tunakunywa nao na baadhi yao tumeoleana nao, tupo nao kwenye masoko tukiuza na kununua bila hata kuuliza dini.

Wakristo tuelezeni sisi waislamu wa Tanzania tumewakosea nini?? Sijaona mkristo yoyote hapa mtaani kwetu amedhuliwa na muislam kwasababu ya dini labda ziwe ni sababu binafsi ambazo hata wakristo hufanya pia. Je hizi chuki wakristo wamefunzwa na watawala wa dunia au viongozi wao wa makanisa??

Mi hata sielewi! yaani ifike mahali mkristo auawe kanisani kwasababu ambazo hazipo clear halafu nishangilie kisa alieuwa ni mkristo!!! That can't be possible, To me, Humanitarian imperative comes first, religion second.

weewee sio wakristo wote, hawa ni wajinga wachache hapa JF , mimi nimeishi community na waislam wakiwa na wakristo na kulikuwa hamna ugomvi wala chuki yoyote za kidini... wajinga wanaomchukia mtu kisa imani yake hawapo kwenye ukristo tu, wapo kwenye uislam pia, ila huwezi ku generalize waislam wote kisa wachache
 
Usalama hawatoi taarifa kihivo mkuu. Hawawezi kukupatia taarifa mtu mmoja mmoja. Nakumbuka kulikuwa na rafiki yangu mmoja alinambia kuna mashehe walikuwa wanapanga mbinu kwa vijana kuwasafirisha nje kujiunga na ugaidi. Lakini bado walikuwa wanafuatiliwa kwa karibu sana kuhusu mtandao wao. Siku walipofurushwa watu wakabaki kulalamika tu mashehe wanaonewa.

Kuna mambo ya kijinga sana yanaendelea kwenye makanisa na miskiti sasa yanakuja kugarimu watu wengine walioingia bila kujua.

Cha kujiuliza huko Kilwa ni kwanini iwe msikiti wa Chamo na sio mingine. Kuna ushenzi unaendelea hapo kwa kivuli cha dini. Dini haina tatizo ila kuna wahuni wanapitia dini kuleta sintofahamu kwa jamii na waumini wa kiislam
Mimi sijui na sitetei yeyote, isipokuwa msimamo wangu ni kuwa haki za watu lazima zitunzwe, watu waovu wahukumiwe kwa haki na sio kwa dhuluma. Na ikiwa jambo linagusa public interests basi kama kuna uovu itolewe taarifa kwa umma na tuthibitishiwe uhalifu wao bila kuwepo ya shaka nasi tutaridhika kuwa watu hawa wamepata kilichokuwa haki yao. Naamini kama kweli walifanya upelelezi wa kutosha, bila shaka nyumba za hao watu walikuwa wakizijua na ningetaraji hao watu wangewakamatia majumbani mwao na sio msikitini.
 
Hii laaana yenu ya ubaguzi endeleeni nayo tu. Ndio hapo munawatia chuki watu wanastahmili kuna wajinga ambao hawatakubali halafu itakuwa ni kuleteana taabu tuu na jamii zilizopo.
 
Yaani inatia uchungu sana kuona kumbe hawa "wenzetu" ambao ni wakristo wana chuki na manyanyaso dhidi ya uislam hapa Tanzania bila sababu yoyote ua msingi.
Wakristo mumeishika nchi tangu uhuru lakini kabla ya hapo historia inajulikana japo haizungumzwi kabsaa.
 
Back
Top Bottom