Maua ya tikiti kunondoka

Maua ya tikiti kunondoka

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
Naombeni ushauri. Tikiti limeanza kutoa maua ila mengi yanaishia kukauka na yanadondoka chini. Msaada wenu wakuu.
 
Kumbuka tikiti hutoa maua aina mbili,jike na dume na dume hutangulia kuzaliwa then linafuata jike so uchavushaji hufanya maua jike kutunga tunda baada ya kuchavushwa na dume kwa msaada wa Nyuki na wanapokuwa hamna unashauriwa hadi kutengeneza mzinga mdogo shambani ili kuwavutia na ikishindikana kabisa unashauriwa hata kuchavusha kwa mkono kazi ambayo ni nzito sana na ua dume likishakaa muda flani husinyaa na kunyauka kisha kuanguka,ss je hayo yanayoanguka ni yale madume au?
Pia kuwa makini na dawa za ukungu unazopiga kuna zingine kama Zantho hupukutisha Maua hivyo kuahiri mipato chako shambani,pia yape matikiti yako virutubisho vya ziada pamoja na maji ya kutosha.Zaidi jitahidi kumwita bw Shamba akague kwa msaada zaidi.
 
Asante sana. Nitayafanyia kazi haya. Hivi mche wa tikiti kwa wastani unakuwa na matunda mangapi?
 
Back
Top Bottom