Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

After monday and tuesday even the calendar says Wednesday, Thursday and Friday...ni ubunifu tu
 
Hilo ni tusi. Kuna jambo limefichwa hapo sio kila kit munapinga tu. Mmiliki wa airtel ni member wa iiluminant hivyo katika kanuni zao lazima utangaze biashara zako kwa logos zenye tafsri ya matusi ili kutoa heshima kwa 666.
 
Utatafsiri initial nyingi kama matuc hii ni kutokana na akili yako inavyokutuma.
 
Hata ww???

Inawezekana wewe una uelewa mdogo sana na umetawaliwa na mawazo ya kikoloni,hivi umeshindwa kuona kwamba lile Tangazo limewekwa vifupisho tena vya rangi na chini yake wameandika BURE?! Sasa wewe ile WTF unalazimisha iwe ufupisho wa Kiingereza!,kweli WaTanzania tuna safari ndefu...

Labda hata ile bure ingeandikwa lugha hiyo tungepata kitu cha kudiscuss

No wonder hii thread nimeiona toka juzi na kila siku moyo ulikuwa unasita kuifungua nilijua tu ni kupoteza muda tu kama thread nyingine zinazoanzishwa na watoto humu.
 
Hilo ni tusi. Kuna jambo limefichwa hapo sio kila kit munapinga tu. Mmiliki wa airtel ni member wa iiluminant hivyo katika kanuni zao lazima utangaze biashara zako kwa logos zenye tafsri ya matusi ili kutoa heshima kwa 666.

Hii mpya?!haa!

Uko darasa la ngapi wewe.
 
....True hilo ni tusi ila kwa bongo ni tambarare tu !!!!

Hii nimeibamba kutoka .....Wiktionary cheki hapo chini :

[h=2]English[/h] [h=3]Alternative forms[/h]
[h=3]Initialism[/h] WTF

  1. (military slang, Internet slang, text messaging) Initialism of What the fu.ck.  [quotations ▼]
  2. (rare) Where the fu.ck, why the ----, when the fu.ck or who the fu.ck.
  3. (sports, taekwondo) World Taekwondo Federation  [quotations ▼]
[h=4]Usage notes[/h]
  • (what the ----): WTF, like the full expression what the fu.ck, may be used either to introduce a question: WTF are you talking about?
    or as an interjection: WTF! That's a load of bull!
  • (what the ----): WTF is sometimes spelled or written out in the NATO phonetic alphabet: whiskey tango foxtrot.
  • (what the fu.ck): WTF is not usually considered as offensive as the full expression what the fu.ck.

Mkuu hata wewe unataka kutafsiri hilo Tangazo kiingereza?

Au umeshindwa kuona kwamba zile ni Logo za hizo social networks?!
 
Mimi ni huyo bi kizee na wigi lake. Mawigi yananikera mimi? Hivi ni lini wanawake wa kiafrika watajikomboa? Hivi kwanini hawajiulizi wazungu hawahangaiki kuvaa mawigi ya kiafrika? Wanawake achaneni na mawigi hayo. Huyo bi kizee akitoa wigi yuko tofauti!
 
Sijui kama ni mie mwenyewe ninaefikiria hivi lkn herufi zilizopo ktk hiyo picha yaani "WTF" ni initials wanazotumia watu ktk chat rooms na zinasimama badala ya neno " what the f**k"
Sasa kwa waliotengeneza hilo tangazo ama wamefanya makusudi au ni mabumbuwazi.
So kama watu wa Airtel mpo humu ndani please sahihisheni hilo kosa asap kwani haileti picha nzuri kwa kampuni.

attachment.php

Sexual Minds always think sex.
Am a marketer by professial hizi tunaziita competitors blunders.
Wanajaribu kuibua kitu ili kupoteza awareness ya customers.
 
Mkuu hata wewe unataka kutafsiri hilo Tangazo kiingereza?

Au umeshindwa kuona kwamba zile ni Logo za hizo social networks?!

Mkuu nakubaliana na wewe 100% kwamba wametumia logo.
Hebu jifunze kuona mbali. Jiulize hizo logo tatu kwanini wasianze ftw, au wft, au twf? Jiulize kwanini iwe wtf? Kumbuka mwenye airtel ni among top most richest billionair in the world & highest degree member of freemason among the 33 freemasonic degrees. Freemason ni wajanja sana wanatumia mbinu na akili nyingi kutushirikisha ibada za kishetani bila sisi kujua na bila sisi kupenda. Naamini shule unayo yakutosha na una accessibility ya internet hebu Google, brows haya mambo yapo kila kona usingoje kusomewa.
 
Inawezekana wewe una uelewa mdogo sana na umetawaliwa na mawazo ya kikoloni,hivi umeshindwa kuona kwamba lile Tangazo limewekwa vifupisho tena vya rangi na chini yake wameandika BURE?! Sasa wewe ile WTF unalazimisha iwe ufupisho wa Kiingereza!,kweli WaTanzania tuna safari ndefu...

Labda hata ile bure ingeandikwa lugha hiyo tungepata kitu cha kudiscuss

No wonder hii thread nimeiona toka juzi na kila siku moyo ulikuwa unasita kuifungua nilijua tu ni kupoteza muda tu kama thread nyingine zinazoanzishwa na watoto humu.
Bora na wewe umesema.
Mleta mada huenda anawaza takataka kila sekunde!
 
wanasema wanawake/wasichana ni wengi kuliko wanaume Tanzania i.e. >25m. Sasa najiuliza katika wote hawa airtel imemuona tu huyu dada ndiye wa kutumia kwenye advert yao!? Hilo ndilo kosa kubwa walilofanya hayo mengine siyajui sana japo.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% kwamba wametumia logo.
Hebu jifunze kuona mbali. Jiulize hizo logo tatu kwanini wasianze ftw, au wft, au twf? Jiulize kwanini iwe wtf? Kumbuka mwenye airtel ni among top most richest billionair in the world & highest degree member of freemason among the 33 freemasonic degrees. Freemason ni wajanja sana wanatumia mbinu na akili nyingi kutushirikisha ibada za kishetani bila sisi kujua na bila sisi kupenda. Naamini shule unayo yakutosha na una accessibility ya internet hebu Google, brows haya mambo yapo kila kona usingoje kusomewa.

WTF kama mleta mada anavyolazimisha kuitumia ina uhusiano gani na hao freemasons

Alafu walivyoweka vifupisho kwa mpangilio huo wewe kimekukera nini?,kungekuwa na tofauti gani hata kama wangefanya kama utakavyo?!

What the F-ck na freemasons wapi na wapi?...nakushauri achana na hizo "story" zako za freemasons...usiruhusu Kiingereza kikutawale,Tangazo ni la Kiswahili na zile ni Logo za Mitandao hiyo ya kijamii
 
Back
Top Bottom