Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

AIRTEL+BURE.jpg

Nimependa midomo, anafaa kwa yale mambo yetu ya chumbani, ndio maana akina Diamondi wanadata
 
Tusi linategemea na tafsiri yako. Kwanza hiyo WTF sio universal abbreviation ya unachokisema wewe.
 
Nilitegemea labda wema katokea uchi kwny tangazo kumbe ni huu ushamba wenu
 
mtoa mada kajisikiaa kumtaja huyo wema maana watu wa udaku udaku bila kumtaja wema hawana raha....wanampa misifa tu....
 
Massai nakubaliana na wewe,hili neno ni Tusi na tatizo nikwamba walioponda hapo juu walifikiria kwamba maana yake hujui mpaka wengine eti kujifanya kuanisha sijui What`sup Facebook na Twitter.Wakati hilo linafahamika na kila mtu hadi watoto.

Hapo ndio huwa tunalalamika wakenya kuja kuchukua ajira zetu kwa uzembe huu.


Kwa wale ambao ni kizazi cha kabla ya facebook wakati wa chatting rooms za kimarekani haya mamaneo hutumika sana,na wengi walikuwa wakitumia kwa ufupi huo pale ukiwazingua.
Sasa mie naelewa watu wa Marketing hii ni taaluma yao,na ni miongoni mwa vitu wanatakiwa kuvikwepa sana,mie nina kiji Certificate cha mambo hayo.Labda hao wenye ma Degree ndio waliona haina shida.
Ila hilo neno ni tatizo,labda wakaweke matangazo hayo vijijini,ila mjini kwa wale ambao walikuwa wakichat kwenye sites za nje miaka kumi iliyopita basi wanajua nini maana ya ufupisho huo.Maana siku hizi watu wamezama kwenye Mitandao hiyo ya kawaida inayojulikana.
We usihadaike na nembo zile za ufupisho wa maneno,pale mtu anaweza hata kuchora gari na ikawa na mueleweko mwingine.
Kwanini asiyageuze maneno mfano(TWF),hapo tatizo ni abreviations zake ndio zimepelekea kuwa tusi.
Natoa angalizo,kwa wale ambao wamechat zamani miaka kumi iliyopita basi wanajua maana yake ila hawa ambao miaka kumi ya facebook wameingia basi wao wanaona sawa tu.

Jamaa wabadilishe tangazo lao,yaani hadi kichefuchefu kulitizama,na mbaya zaidi ukizingati dole gumba la mwisho wa heru ndio kabisaaaa.
Na Model mwenyewe na hivi ni mkaa uchi kwnye kipindi chake maziwa nje,ndio inapoteza kila kitu.
In Gneral tangazo linakera hata kutizama.
Halafu unaweza kukuta Board kubwa likawekwa Airport,duhh,kazi kweli.Nchi ya vituko hii.


WTF! Airtel! 😆
 
WTF kwa maana ya "whatsapp, twitter na facebook" si tusi ila WTF kwa maana ya "what the fu@k" ndio tusi. Kibiashara Airtell hawajakosea na kwa hakika kinachotokea sasa walikitarajia. Dunia imebadilika sasa vijana wengi wanavutiwa na mambo mabaya so atakapoona WTF tafsiri ya kwanza itakayomjia ni ile ya tusi hivyo atavutiwa ila Airtell watakapoulizwa watasema tulimaanisha whatsapp, twitter na facebook.
 
wadau zungukeni weee...mkosoeni mtoa mada lakini ukweli unabaki palepale..WTF ni tusi la kimataifa. Vijana wadogo walioanza ku chat mitandaoni kuanzia 201
0 wanaweza wasijue hilo lakini WTF kimataifa ni kifupisho cha What The F*ck!. Unapofanya marketing strategy yoyote unatakiwa u think local lakini u act globaly. Unadhani bango likiwekwa pale njiapanda ya airport wageni wakiingia ambao vifupisho vya message vilianza siku nyingi kwao watapata image gani ya kampuni. Kwani kulikua na shida gani kugeuza na kua TWF ambayo kimataifa bado haijatumika kama kifupisho cha matusi? Kwa hapo marketers wa Airtel wamechemka.
...umelonga vyema sana mkuu kama walivyolonga wachache sana wengine. idadi kubwa ya wanaomponda muanzisha uzi huu inaonyesha kwa nini kila tapeli wa kimataifa anaweza kuja TZ na kuhomola anavyotaka na kujiondokea zake huku tukimshangilia. Hatujitambui. PR yeyote anayeshimu cheti chake asingekubali tangazo hilo kutolewa na kampuni yake kwa kujua kuwa litakwaza baadhi ya
 
wadau zungukeni weee...mkosoeni mtoa mada lakini ukweli unabaki palepale..WTF ni tusi la kimataifa. Vijana wadogo walioanza ku chat mitandaoni kuanzia 201
0 wanaweza wasijue hilo lakini WTF kimataifa ni kifupisho cha What The F*ck!. Unapofanya marketing strategy yoyote unatakiwa u think local lakini u act globaly. Unadhani bango likiwekwa pale njiapanda ya airport wageni wakiingia ambao vifupisho vya message vilianza siku nyingi kwao watapata image gani ya kampuni. Kwani kulikua na shhda gani kugeuza na kua TWF ambayo kimataifa bado haijatumika kama kifupisho cha matusi? Kwa hapo marketers wa Airtel wamechemka.

...litakwaza baadhi ya wateja wake. Hao marketers wanajua sana kwamba walichofanya sicho na wangeweza kutumia Common Sense ndogo tu kugeuza tu kidogo hizo herufi na bado ujumbe wao ungetufikia! lakini wamefanya hivyo makusudi wakijua kuwa in TZ anything goes...si unaona wanavyotetewa hapa??
 
AIRTEL+BURE.jpg


Aiseeeeeeeeeeee

Nilikuwa sijui hii!!!!!!!
 
Safi sana mkuu,yaani nashangaa kuona watu wanapindisha ukweki wa tusi hili.
Wao wasikosolewe kwani wao nani?
We acha wakaliweke pale Airport uone kama wenye uelewa hawajawachana wakubwa.
Sipati picha watu hawa wameanza kuchat lini,unawea kukuta huyu mtu wa Marketing kipindi hicho yupo Shule ya Sekondary.Maana nikiangalia Ages za Mameneja masoko wengi ni kwamba miaka kumi nyuma walikuwa shule za kati.

....True hilo ni tusi ila kwa bongo ni tambarare tu !!!!


Hii nimeibamba kutoka .....Wiktionary cheki hapo chini :

[h=2]English[/h] [h=3]Alternative forms[/h]
[h=3]Initialism[/h] WTF


  1. (military slang, Internet slang, text messaging) Initialism of What the fu.ck.  [quotations ▼]
  2. (rare) Where the fu.ck, why the ----, when the fu.ck or who the fu.ck.
  3. (sports, taekwondo) World Taekwondo Federation  [quotations ▼]
[h=4]Usage notes[/h]
  • (what the ----): WTF, like the full expression what the fu.ck, may be used either to introduce a question: WTF are you talking about?
    or as an interjection: WTF! That's a load of bull!
  • (what the ----): WTF is sometimes spelled or written out in the NATO phonetic alphabet: whiskey tango foxtrot.
  • (what the fu.ck): WTF is not usually considered as offensive as the full expression what the fu.ck.
 
Sijui kama ni mie mwenyewe ninaefikiria hivi lkn herufi zilizopo ktk hiyo picha yaani "WTF" ni initials wanazotumia watu ktk chat rooms na zinasimama badala ya neno " what the f**k"
Sasa kwa waliotengeneza hilo tangazo ama wamefanya makusudi au ni mabumbuwazi.
So kama watu wa Airtel mpo humu ndani please sahihisheni hilo kosa asap kwani haileti picha nzuri kwa kampuni.

http://1.bp.blogspot.com/-Obkx11P9cdI/U196iCQMgAI/AAAAAAAAYWs/ws1u-LxutXM/s1600/AIRTEL+BURE.jpg
Baada ya kutafakari kwa kina nafuta bandiko langu la kukupinga,uko sawa mkuu ukichunguza zile herufi mbele yake inaishia na alama ya mshangao(!) hii inamaanisha si vifupisho vya majina bali sentensi ,sentensi ipi?wote tunajua .
my take -airtel markerting personel hawana adabu.
Mkuu nipokee kwenye Team!
 
Nways, mie nilitaka iwe challenge kwa watu wa fani ya Marketing / PR, lkn so far naona zero tuu. Either hawaelewi au nao ni wtf!!!!
 
Back
Top Bottom