Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

Wewe unaonekana haumo na hazimo kabisa na akili zako zinawaza matusi muda wote wengine hawajui na wengine wanaojua ni tusi hawafikirii unavyo fikiria wewe ZORO.😡
 
wadau zungukeni weee...mkosoeni mtoa mada lakini ukweli unabaki palepale..WTF ni tusi la kimataifa. Vijana wadogo walioanza ku chat mitandaoni kuanzia 201
0 wanaweza wasijue hilo lakini WTF kimataifa ni kifupisho cha What The F*ck!. Unapofanya marketing strategy yoyote unatakiwa u think local lakini u act globaly. Unadhani bango likiwekwa pale njiapanda ya airport wageni wakiingia ambao vifupisho vya message vilianza siku nyingi kwao watapata image gani ya kampuni. Kwani kulikua na shhda gani kugeuza na kua TWF ambayo kimataifa bado haijatumika kama kifupisho cha matusi? Kwa hapo marketers wa Airtel wamechemka.
 
Aliwazalo mjinga ndilo litalo mtokea kwani ukisoma whatsapp, twitter na facebook utapungukiwa nn km hivyo hata abbreviation zote zingezuiwa maana tafsiri nyingine kwa lugha nyingine ni matusi.
 
wadau zungukeni weee...mkosoeni mtoa mada lakini ukweli unabaki palepale..WTF ni tusi la kimataifa. Vijana wadogo walioanza ku chat mitandaoni kuanzia 201
0 wanaweza wasijue hilo lakini WTF kimataifa ni kifupisho cha What The F*ck!. Unapofanya marketing strategy yoyote unatakiwa u think local lakini u act globaly. Unadhani bango likiwekwa pale njiapanda ya airport wageni wakiingia ambao vifupisho vya message vilianza siku nyingi kwao watapata image gani ya kampuni. Kwani kulikua na shhda gani kugeuza na kua TWF ambayo kimataifa bado haijatumika kama kifupisho cha matusi? Kwa hapo marketers wa Airtel wamechemka.
Safi sana mkuu,yaani nashangaa kuona watu wanapindisha ukweki wa tusi hili.
Wao wasikosolewe kwani wao nani?
We acha wakaliweke pale Airport uone kama wenye uelewa hawajawachana wakubwa.
Sipati picha watu hawa wameanza kuchat lini,unawea kukuta huyu mtu wa Marketing kipindi hicho yupo Shule ya Sekondary.Maana nikiangalia Ages za Mameneja masoko wengi ni kwamba miaka kumi nyuma walikuwa shule za kati.
 
Kwa msaada tu kwa mleta mada, elewa kwmb maana ya maana ni tata itategemea unaizungumzia ktk mazingira gani. Maana ya neno inaweza kupatikana kwa namna mbili. Maana ya msingi na maana ya ziada. Maana ya ziada inapatikana kutokana na mazingira ya matumizi ya neno. Kwahiyo WTF inaweza ikawa na maana zaid ya hiyo uliwaza kichwani kwako la muhimu ni imetumika mazingira gani.

Kwahiyo kwenye tangazo maana waliyo maanisha ndo hiyo. Wewe km una maana ya kwako ni wewe kutokana na mazingira yako kwahiyo usilazimishe.

Kifupi ni kwamba unapokutana na herufi "WTF" kitu cha kwanza kinachokujia ni "what the f**k", unless ww teknologia ya mitandao ya kijamii imekupiga kikumbo. Na kwa maadili ya kibiashara hii ni kosa, najua kwa sasa mtabisha lkn najua serikali yetu ya Zimamoto siku wakijauona moto wataanza kukurupuka kutafuta maji ya kuuzima badala ya kuact sasa hivi wakati moshi unafuka
 
am only responsible for what i write and not you are understand
 
Safi sana mkuu,yaani nashangaa kuona watu wanapindisha ukweki wa tusi hili.
Wao wasikosolewe kwani wao nani?
We acha wakaliweke pale Airport uone kama wenye uelewa hawajawachana wakubwa.
Sipati picha watu hawa wameanza kuchat lini,unawea kukuta huyu mtu wa Marketing kipindi hicho yupo Shule ya Sekondary.Maana nikiangalia Ages za Mameneja masoko wengi ni kwamba miaka kumi nyuma walikuwa shule za kati.

Ni kwamba hawataki tuu kukubali, WTF, LOL, LFAO, LMFAO ni maneno common kwny social media. Ila kizazi hiki ndio kile kilichozoea lugha za matusi so kwao sio issue lkn kwetu wengine ni big deal.
 
Sijui kama ni mie mwenyewe ninaefikiria hivi lkn herufi zilizopo ktk hiyo picha yaani "WTF" ni initials wanazotumia watu ktk chat rooms na zinasimama badala ya neno " what the f**k"
Sasa kwa waliotengeneza hilo tangazo ama wamefanya makusudi au ni mabumbuwazi.
So kama watu wa Airtel mpo humu ndani please sahihisheni hilo kosa asap kwani haileti picha nzuri kwa kampuni.

http://1.bp.blogspot.com/-Obkx11P9cdI/U196iCQMgAI/AAAAAAAAYWs/ws1u-LxutXM/s1600/AIRTEL+BURE.jpg

Huo ni uoga wako to, hiyo ni Whatsapp twitter facebook.
 
Binafsi sioni tatizo kwenye hilo Tangazo, labda tujiulize hilo Tangazo limelenga watu gani.

Kama Marekani ni tusi bongo ni halali, na kama Marekani ni halali bongo ni tusi mfano ushoga.
 
Hebu wacha uboya wewe,nani kakwambia ile taswira pale imekaa kitusitusi? wacha kutafsiri maneno unavyotaka wewe ,na maandishi yale hayawezi kutolewa ili kuridhisha msimamo wako hasi!znz kuna eneo neno au jina 'tembo' kwao ni tusi lakini hawajawahiu kusema ile TEMBO HOTEL ibadilishwe jina inawatusi dada/mama/bibi zetu! japo ya kata jiongezee maarifa kidogo!
WTF mie naweza nikaifanya what the feeling/fun

Why The Face? 🙁
 
Ni kwamba hawataki tuu kukubali, WTF, LOL, LFAO, LMFAO ni maneno common kwny social media. Ila kizazi hiki ndio kile kilichozoea lugha za matusi so kwao sio issue lkn kwetu wengine ni big deal.

ongezea na LMAO mkuu!
 
Back
Top Bottom